Kwani katazo la mikutano ya kisiasa Zanzibar haihusiki? Naona Zitto anajideula tu mitaa ya Zenji

Naomba tu kaufafanuzi lile katazo la mikutano ya kisiasa ni kwa Tanganyika tu au linafika hadi Unguja na Pemba?

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!

Kuna Watu wa ' Upinzani ' nchini Tanzania wanadhani Mtu mmoja ni Mwenzao na wanamuamini kwa 99% hadi wanamkaribisha ' Jikoni ' Kwao ila wangejua kama kuna Mtu ambaye ndiyo anawaumiza na anawachuuza huku akiwasanifu ni ' Mtu Fulani ' hivi na mpaka wakija Kumshtukia nina uhakika watakuwa wameshapotea na kuvurugika kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kama ni muoga kuandika majina basi ungekaa kimya tu
Hapa jf hakuna uoga wa kuandika kitu unachokiamini
 
Naomba tu kaufafanuzi lile katazo la mikutano ya kisiasa ni kwa Tanganyika tu au linafika hadi Unguja na Pemba?

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar ina Katiba yake na Serikali yake ambayo inajiamulia baadhi ya mambo yakiwemo ya kisiasa.
Hata hivyo mpaka sasa chama cha ACT Wazalendo hakijafanya mikutano ya hadhara, nadhani harakati zinazoendelea huko ni zile za kushusha tanga kwenye Jahazi moja na kupandisha kwenye Jahazi lingine ili chombo chao kianze safari
 
Kumbe Zanzibar inajiamulia mambo ya kisiasa!!
 
Back
Top Bottom