Kwani hii simu ni nyundo?

Kwani hii simu ni nyundo?

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,701
Nimeona hii picha nikatazama na kutafakari nikajikuta nacheka tuuu. Je ni kweli au izo ni mbwembwe tu????
1434631567860.jpg
 
Naomba nisomee jina kwenye hiyo inayovunja floor, mbona kama ni jina la mtu hapahap jf!
 
Nokia mpango mzima, they are durable sana...
Hata lumia ni noma...
 
Back
Top Bottom