Kwani haiwezekani?

Kwani haiwezekani?

2030

Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
28
Reaction score
3
Ndugu wana Jf,najiuliza mara nyingi sana juu ya huu mfumo mpya wa ubashiri wa mpira wa miguu nilio uandaa.Binafsi naona inawezekana kabisa,sijui kwa upande wenu
OPTIONS KWA AJILI YA UBASHIRI WA MECHI 12.
Kuna jumla ya options 531441 kwa betting za mechi 12,ambapo kwa mpangilio wowote ule utakao fanyika,baada ya mechi zote kuisha,kutakuwa na option 1 iloshinda mechi zote!! Options zisizozidi 154 zilizo shinda mechi 11,options zisizozidi 1243 ziloshinda mechi 10 na options zisizozidi 5896 ziloshinda mechi 9 na options nyingine zilizoshinda mechi 8,7,6,5 nk.Idadi hii inatosha kabisa kuanzisha kampuni ambalo litakuwa linazitumia hizi options.

Namna ya kuzitumia inaweza kuwa tofauti kulingana na akili husika
Namba yangu ni 0754969349,na options hizo hapo chini,zipo katika pdf kwa ajili ya kukufanya uamini,ila ambazo hazipo kwenye pdf ninazo na ndo zinaweza kuwa programmed.
 

Attachments

Back
Top Bottom