Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,557
Uchawa pro maxxxxxw
Tumeshaelimishwa na wanazuoni kubwa Phd ya heshima haipaswi kutumika kwenye kina la mhusika. Ni kosa kimantiki kusema Dk. Samia SH. Akitaka awe na title hiyo senso UDOM akanunue kama walivyonunua wanasiasa wengine, mwigulu, dafo, ......Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.
Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.
Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu Hassan alinituma hivi majuzi kwenda New York.
Kwangu Mimi ingependeza kama angesema" Mheshimiwa Rais alinituma kwenda New York.
Ukishasema Mheshiwa Rais, definitely inajulikana ni Dkt. Samia suluhu Hassan.
Kwingine inazidi kabisa" Namuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia suluhu Hassan anaingia hapa"
Hivi ukishasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaingia hapa, haitoshi mpaka utaje jina lake? Kwani Kuna Rais mwingine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asiye Dkt. Samia Suluhu Hassan?
Kwangu Mimi dhana hii ya utajaji jina la Rais Kila mahali, hata ambapo cheo chake kimeshatajwa Ina dhana mbili kuu,
1) Hivi si kujipendekeza kwa watamkaji wa jina la Rais Kila mara kana kwamba huwa Kuna Rais mwingine tena wakati huohuo?
Maana nijuavyo, neno Rais linamhusu hasa aliyeko madarakani. Tukitaka kusema Rais mwingine aliye wahi kuwa, tutatumia maneno kama" Rais mstaafu" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Dhana nyingine ninayoipata, ni taswira ya hofu "( inferiority complex")
Kutaja jina la Rais Kila wakati hata pale ambapo cheo chake kimeshatajwa, kwangu Mimi naona ni hofu( ya kupandiwa ?) yenye lengo la kuonyesha kwamba huyu ndiye.
Sasa jambo la kujiuliza ni, kwani Kuna mshindani Tena ndani ya urais? Kuna anayempinga Rais mpaka atambulishwe kwa jina Kila wakati kama kwamba asipotajwa jina atapoteza cheo chake?
Je kutajataja jina la Rais hata baada ya kumtambulisha kwa cheo chake, ni njia ya wakereketwa kuwaonyesha wale walioutaka urais wakati Fulani kwamba Sasa huyu ndiye?
Nakubali kweli kwamba Kuna wakati wa kumtambulisha Rais na jina lake lifuate katika nyakati kadhaa lakini haiwezi kuwa Kila wakati kama ninavyoona siku hizi.
Lakini ninaloliona hapa kwetu ni ajabu kiasi. Mtu hawezi tu kusema Rais, Tena Rais wetu tunayemfahamu wote kwa jina, ajabu lazima ataje jina lake kana kwamba anamtambukisha Rais wa Jamhuri nyingine.
Mantiki ya andiko langu ni kufanya mambo sahihi kwa njia sahihi.
Doing the right things, the right way!
We akili hauna, sijui ulipata ngapi ya kiswahili aisee. Hizi ni kanuni basic sana za uandishi, usomaji na utambuzi. Hivi nikuulize, unaweza mwita baba yako mzazi mkwe, au mkeo umwite wifi?Waafrica wengi tunapopata za daktari tunaacha kutumia majina yetu.
Na unapomwakilsha Rais,,Utakiwa kuanza na jina lake mfano ,Mheshimiwa Dr Samia Hassan Suluhu,rais waJMT au Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan.
Ukitumia kinyume cha uje wewe ni juha tuu.
UCHAWA NI UGONJWA NDANI YA CCM MKUU KILA MWANACHAMA ANAUMWA UGONJWA HUOSijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.
Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.
Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu Hassan alinituma hivi majuzi kwenda New York.
Kwangu Mimi ingependeza kama angesema" Mheshimiwa Rais alinituma kwenda New York.
Ukishasema Mheshiwa Rais, definitely inajulikana ni Dkt. Samia suluhu Hassan.
Kwingine inazidi kabisa" Namuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia suluhu Hassan anaingia hapa"
Hivi ukishasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaingia hapa, haitoshi mpaka utaje jina lake? Kwani Kuna Rais mwingine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asiye Dkt. Samia Suluhu Hassan?
Kwangu Mimi dhana hii ya utajaji jina la Rais Kila mahali, hata ambapo cheo chake kimeshatajwa Ina dhana mbili kuu,
1) Hivi si kujipendekeza kwa watamkaji wa jina la Rais Kila mara kana kwamba huwa Kuna Rais mwingine tena wakati huohuo?
Maana nijuavyo, neno Rais linamhusu hasa aliyeko madarakani. Tukitaka kusema Rais mwingine aliye wahi kuwa, tutatumia maneno kama" Rais mstaafu" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Dhana nyingine ninayoipata, ni taswira ya hofu "( inferiority complex")
Kutaja jina la Rais Kila wakati hata pale ambapo cheo chake kimeshatajwa, kwangu Mimi naona ni hofu( ya kupandiwa ?) yenye lengo la kuonyesha kwamba huyu ndiye.
Sasa jambo la kujiuliza ni, kwani Kuna mshindani Tena ndani ya urais? Kuna anayempinga Rais mpaka atambulishwe kwa jina Kila wakati kama kwamba asipotajwa jina atapoteza cheo chake?
Je kutajataja jina la Rais hata baada ya kumtambulisha kwa cheo chake, ni njia ya wakereketwa kuwaonyesha wale walioutaka urais wakati Fulani kwamba Sasa huyu ndiye?
Nakubali kweli kwamba Kuna wakati wa kumtambulisha Rais na jina lake lifuate katika nyakati kadhaa lakini haiwezi kuwa Kila wakati kama ninavyoona siku hizi.
Lakini ninaloliona hapa kwetu ni ajabu kiasi. Mtu hawezi tu kusema Rais, Tena Rais wetu tunayemfahamu wote kwa jina, ajabu lazima ataje jina lake kana kwamba anamtambukisha Rais wa Jamhuri nyingine.
Mantiki ya andiko langu ni kufanya mambo sahihi kwa njia sahihi.
Doing the right things, the right way!
Marais wa mitaani sio WAHESHIMIWAMarais wapo wengi ndg yangu. Wengine hadi wa mitaa!
Ni vema tu kumtaja jina kwa ajili ya kuondoa utata!
Ha ha ha ha ha@ magonjwa mtambuka umenifurahisha sana. Nakubali Kwamba hao kiboko wa simba nao Wana rais, mukhitadha wa jambo, tukio au hali halisi utakuonyesha hakika huyo ni Rais gani.Sio kweli. Jamaa wa utopolo wana rais wao pia, kwa hiyo ni lazima kutenganisha na kufafanua kwa kutaja jina[emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikutana na mwamba kutoka Uswizi ana Phd ila bwana mdogo balaa yaani hajafika hata 30. Sikuwahi jua ni Phd holder mara ghafla tu maana hata kwenye introduction hakutumia sijui Dokta nani. Alijiita kwa jina lake kavu tu.Ni sisi tu wabongo na wafrika ndio udaktari wa heshima tuna uweka kabla ya majina yetu ...mnafikiri mabara mengine hawapewi udaktari wa heshima!?? Mbona hawayatumii official kwenye majina Yao.... Ulimbukeni tu.
Na ndio wana akili, maendeleo, na uwezo wa kifedha kutushinda.Hata hiyo bado ndefu kuanza na mheshimiwa halafu rais kisha jina. Wenzetu wannatajja jjiina mmoja tu bila kuannza Wala kumalizia na kingine chochote mfano, wanasema:- Biden, Netanyahu, Barrack, n.k
Hawa mbwa wetu ni full kujikomba
BarikiwaHaupo pekee yako. Unajua kwasasa taifa lina changamoto ya ongezeko la watu wajinga na wapumbavu.
Na katika jamii hakuna kitu hatari kama mtu mjinga /watu wajinga halafu awe/wawe na confidence kwenye ujinga wake/wao madhara yake ndio haya wanaweza kosea pakubwa ila wao wakasimamia ujinga wao kuwa wapo sahihi.
Hili swala nimeshalihoji mara nyingi. Vyeo au wadhifa huwa vinakwenda kwa ngazi na hauwezi panda ngazi moja na vyeo au nyadhifa kumi na zikatumika kwa pamoja.
Dr. ni hadhi ya kitaaluma, Raisi ni wadhifa wa Kisiasa/kiraia na kimamlaka, hali kadhalika bwana, bibi fulani ni wadhifa wa kijinsia.
Maswali ya kujiuliza je Samia suluhu Hassan yupo pale kushika wadhifa wa aina gani?
Je wa kitaaluma, wa kisiasa, wakijinsia, wa aina gani?
Hapo ndipo utapata jibu sahihi ni lipi.
Raisi kama taasisi ni nani?
So jina sahihi la kiwadhifa ni kusema MHESHIMIWA KAIMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, KAIMU RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA.
Samia suluhu Hassan ana assume nafasi ya urais baada ya the late Magufuri kufariki ghafla, haukufanyika uchaguzi wala teuzi bali ni kukaimu majukumu ya urais kwa mujibu wa katiba wala sio matakwa ya watu au kikundi fulani.
Kimsingi, Samia suluhu Hassan anakuwa si raisi kamili kimamlaka maana ameshika wadhifa kwa kukaimu na sio kwa kujenga regiment yake. Atakuwa rais kamili kwa mujibu wa katiba baada ya uchaguzi ujao ambao kwa mujibu wa katiba ya sasa anaruhusiwa kugombea mara moja tu sababu kipindi chake cha kaimu ni kama ameserve muhula kamili wa miaka 5.
Ila ukiongea vitu kama hivi akili ndogo wanaotumia hisia na hivyo kuproduce ujinga watakuja kuropoka whatsoever ili tu kuridhisha akili zao na mapepe yao ujinga wao. Na ndio maana kuna vitu vinakwenda hovyo sana nyakati hizi hadi raia wanabakia kukata tamaa wanashindwa kuhoji sababu miiko na misingi midogo ya uongozi inachezewa na wapuuzi wanao ongoza kundi la wajinga na wapumbavu wenye confidence.
Meza au tema, huo ndio ukweli.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
NonesenseSio kweli. Jamaa wa utopolo wana rais wao pia, kwa hiyo ni lazima kutenganisha na kufafanua kwa kutaja jina😁😁😁
Nonesense=Nonsense. Jifunze lugha za wengine.😁Nonesense
Mwazilishi wa huu ujinga ni Makonda kipindi cha MagufuliKujipendekeza
Kutojiamini
Kukwezana
Unafiki
Uzandiki
Ujinga
Kutojielewa
Sifa za kijinga.
Kifupi.. HOVYOO.
Maza ni mpenda sifa haswaNa ukiona jambo linafanyika kila mara ujue lina baraka ya muhusika.
Mtu maisha yote umekaa ndani na vi certificate vya kuunga unga halafu ghafla unapata title ya udaktari wa kupewa, hapo lazima utake uitwe Dr. kila mara ili kujiona na wewe wamo.
Ni kama vile umetembea kwa miguu miaka kibao halafu unakuja kumiliki gari, siku za kwanza lazima uwe na mchecheto wa kuzua hata safari isiyoluwepo ili tu uendeshe gari yako.
Kumbe unajua ulichokiandika hapo juu maana yake ni hiyo uliyosahihisha.aliyekunukuu aliamua kukufichia aibu ila kumbe unajijua.Hongera.Nonesense=Nonsense. Jifunze lugha za wengine.[emoji16]