Kwani DANUBE ndio mjukuu wa HOMESHOPING CENTER???

abdulrahim

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
408
286
Aisee!!
Eti ndivyo ilivyo hivi? Kwani Babu mtu Homeshopping center alitoka salama kweli? Kodi yetu stahiki aliilipa kweli? Duh maana mambo haya ya mjukuu na babu yalikuwaga kwenye mahotel lakini sasa naona yanaenda mpaka msimbazi..KWELI SHAMBA LA BIBI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom