Kwangu, Zitto Mbunge wa kipekee mwaka 2012

Kwangu, Zitto Mbunge wa kipekee mwaka 2012

Je' unaweza kuwa mbunge bora kama unaendekeza ushirikina na kutishia usalama wa Albino wetu?
 
Mimi kwangu, Mbunge bora No. 1 kwa mwaka 2012 ni Mhe. Halima Mdee!.
Naomba msiniulize sababu ila ZZK ni wapili na sababu ni hizi zilizotajwa humu.
Pasco.
 
Ndugu zangu hebu tumuache huyu mtu apumue!! Kila siku tunamuandama.


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Hatumuachi sababu matendo yake mwenyewe Ndio yanasababisha aandamwe,hatapumua ngo......
 
huu ni mtazamo wake hatujui ameangalia nini akaona zitto ni mbunge bora 2012 kwangu mimi zitto ni sawa na makinda,mwigulu au lukuvi hayupo sawa na mnyika wala lissu,hana uwezo sio tu wa kuvaa viatu vyao bali hata kushika kidamu ya viatu vyao(viatu vya lissu na mnyika)
huku ni kukosa adabu na pengine chuki binafsi.
 
Mie kwangu mbunge bora mwaka huu ni Mnyika akifuatiwa na Zitto then Lissu na Mdee then Filikunjombe basi
 
Back
Top Bottom