Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,218
- 34,447
kipindi wanakatana kucha we ulikuwepo?Huyu bi shost alitaka kumdhibiti mume basi kama ilivyoada aliwlekezwa kwa sangoma, ni Nyamwicho huyo alimwambia anataka kucha za mikono na za miguu za mumewe ili kazi ifanyike.
Bi shost kila akipiga hesabu za kukusanya kucha ni ngumu , mwisho alitafuta box tupu la kiberiti, alimtaimu mume amelala akaanza kukata kucha. Jamaa amestuka usingizini anamuona mke anamkata kucha, alifanya jicho moja na kujifanya anakoroma mke akakusanya kucha na kuziweka kwenye kiberiti. Akaenda mkono wa pili, na miguu wa kwanza, mume anaangalia.
Alipomaliza akahifadhi kibiriti kwenye draw chumbani na kwenda chooni kujisaidia kabla ya kulala . Mume aliamka akafungua draw na kuhamisha kibiriti kwenye briefcase yake. Dada anashindwa kuuliza mzigo wake uliokuwa kwenye draw umekwendavwapi.
Kuna ile panya anang"ata na kupuliza[emoji23][emoji23][emoji23] huyo bwana ana moyo. ...mimi nisingevumilia hata kidole kimoja
punguza kucheka unasumbua wenzako walio lalaHahahahaha
punguza kucheka unasumbua wenzako walio lala
Huyu bi shost alitaka kumdhibiti mume basi kama ilivyoada aliwlekezwa kwa sangoma, ni Nyamwicho huyo alimwambia anataka kucha za mikono na za miguu za mumewe ili kazi ifanyike.
Bi shost kila akipiga hesabu za kukusanya kucha ni ngumu , mwisho alitafuta box tupu la kiberiti, alimtaimu mume amelala akaanza kukata kucha. Jamaa amestuka usingizini anamuona mke anamkata kucha, alifanya jicho moja na kujifanya anakoroma mke akakusanya kucha na kuziweka kwenye kiberiti. Akaenda mkono wa pili, na miguu wa kwanza, mume anaangalia.
Alipomaliza akahifadhi kibiriti kwenye draw chumbani na kwenda chooni kujisaidia kabla ya kulala . Mume aliamka akafungua draw na kuhamisha kibiriti kwenye briefcase yake. Dada anashindwa kuuliza mzigo wake uliokuwa kwenye draw umekwendavwapi.
Power Mwanakulya, Kibisa NgomaTroupe, Kwaya ya JKT mbweni ikiongozwa na John Komba
Ukiwa na nakala ya Sani kila mtu anakuwa rafiki yako darasani na mihogo ya bure utakula. Hiyo list ya kuazima unaweza kujikuta wewe ni wa 20We hulali?, Kibisa sio mchezo, pia kulikiwa na muungano hapo wakina majuto, small, Tomato walikiwa vijana sana
Usisahau Nipashe na story zao za kuchonga, gazeti la sani lilikuwa kama sasa watu wanavyosubiri Apple watoe simu mpya
Ukiwa na makaka ya Sani kila mtu anakuwa rafiki yako darasani na mihogo ya bure utakula. Hiyo list ya kuazima unaweza kujikuta wewe ni wa 20
Haha unakumbuka mikate ya siha na manado ya ekarusi
Dar ile ukiwa unaishi Makongo , Mbezi au Bunju inabidi uwe na usafiri wakoDah Ekarusi Kumbakumba sio mchezo, zike gari zilikuwa clasic kuliko hizi za sasa za mchina, mlango wa kushuka ulikiwa wa katikati na kupanda ulikuwa wa mbele na nyuma watoto tulikuwa tunapenda kukaa katikati kwenye mzunguko
We muhenga