Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
umechinja beberu la mbuzi ukaamua kuchoma pumbu. Mbwa akazipitia watotowako wakaanza kukwambia baba Mbwa kachukua pumbuzako, mara wanaanza kumfukuza huku wakipiga kelele ludisha pumbu za baba. je, wewe kama baba utawakataza kumfukuza au utauchuna?