Dah,me ilishanitokea hiyo kuna mdada nilianza kuchat nae fb akiwa mwaka 2 chuo. Sikuwahi mtongoza lkn pia sikumwambia km nna mke! Kwao ni hapa dar lkn alikuwa anasoma mwanza! Alipokuja likizo aliniletea sato kibao na saa ya mkononi na ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza kuonana! Baada ya kuonana mdada alianza kutuma sms za mapenzi! Tofauti yangu na mleta mada me nilishindwa kujizuia nikapiga mzigo,na mdada akakolea zaidi..!! Ilikuwa issue kubwa kutafuta namna ya kumwambia ukweli km nna mke. Niliamua kupunguza tu mawasiliano nae lkn hadi leo hajui km nimeoa na yeye kwa sasa ameajiriwa hukohuko mwanza. Juzi tu amenitext kuwa yupo amekuja likizo niende kumuona coz anaumwa! Tatizo mpaka sasa bado ana matarajio makubwa sana na anaamini nimebanwa na majukumu ndo maana nimepunguza mawasiliano. Yaani nilivyosoma hii post yako mkuu
Innocizy nikahisi km umeamua kunisaidia. Natamani hata asome hii comment yangu ili aanze kujitathimini,anaweza kufa siku akijua nna mke na watoto.