Mdau nashukuru sana kwa hizo njia....I go for plan B coz naona itakua nzuri zaidi...ya kuwakutanisha mmmh hiloo janga,I know women baadhi yao can't handle that...
Kuhusu kuruhusu,sio mm nimekuja kugundua kwamba toka zamani ananifuatilia,sasa wengine kutokana na majukumu tunakua mbali na wachumba zetu,so nahisi kwa kuwa most of the haoni kama nahangaika na ladies akahisi am free...and by that time tayari kashaniweka before hata hajaomba number yangu,na kwakuwa tunaabudu mahali pamoja,ndo majuzi akaniomba(in good faith,don't laugh).
From there is ndipo nilipogundua spidi yake..