Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Una manzi wako....inatokea Mdada mwingine anaanza maozea na wewe kisha mawasiliano yananoga kiasi kwamba unaona kabisa kwamba she's into you,lakini anaogopa kuziweka hisia zake wazi...lengo lako likiwa sio kuanguka penzini nae coz u've ur gal,je how do you make it open to her without hurting her feelings????
I know rejection hurts,but ile kuambiwa kitu while its late inauma zaidi.
Vidume wa humu huwa mnawakataaje wadada wanaokupendeni???(kama wewe ni chapa ilale hapakufai hapa)
Na nyie wadada huwa mnataka msikie maneno ya aina gani from a man ambae tayari ako committed na hukujua kama ako hivyo that's why ukatokea kumpenda????(kama wewe ni mwizi wa waume za watu pia hapakufai)