Kwamfano kwa hili unafanyaje wadau???

Kwamfano kwa hili unafanyaje wadau???

Ishu pia si kumuacha,coz we are not lovers,ishu ni kumwambia ukweli kwamba asihangaike na wewe coz tayari una mtu, unless hujawahi penda mtu huwezi jua maumivu ya rejection.
wakati unamtawanya miguu yake hukua na mtu?
 
Aseee pole sana....kuna jamaa alioa na mwanamke akakaa ndani mwezi mmoja akamwambia ashaonja maisha ya ndoa na alitaka tu ajue yakoje so she's done akasepa....can you imagine that? Someone only married you ili aonje maisha ya ndoa na atoe gundu???

acha mapenzi yaitwe mapenzi
aiseee
 
Ndio Mamie,yaani sahivi hata usiku wa saa nane ukikaa vibaya utatumiwa text "ushakula,unafanya nn now,MWENZAKO AM LONELY then I MISS YOU KWELI"

Hio kwenye funga semi usiichukulie serious sana ingawa kuna ukweli ndani yake hahaha..

Hahahahaaaa mkuu umenichekeshaje ila fanya mpe shua mapema kama ataanza mwaka vibaya sio mbaya
 
Maskini wee wajameni mtotowa watuu usimle km humtaki

Usiogope mkuu na huo ndio mpango na kuna njia za wadau humu zishaanza kufanyiwa kazi tayari....ikiwamo la wifi kumsalimu thanks to Ms.Lincoln for that peace of advice
 
Last edited by a moderator:
I will mkuu,that's why nikaomba msaada on how to tell the truth,coz sina mawazo mabaya juu yake.she's just one of those innocent persons who fall in love to the taken ones
hajakuambia ila wewe ndio unaona she is into you badilisha style ya mawasiliano kama ulikuwa unaongea nae mara kwa mara punguza mawasiliano. hii pia itasaidia maana utakapoanza kujisemesha ogh!mimi nna mtu wangu anaweza kukuuliza kwani vp? afu ukawa umejichoresha
.Punguza mawasiliano
 
Daah Eve....hajamtawanya na wala hawajawa wapenzi ila dada ana dalili zote kwamba kaoza kwa kijana...hivyo ndivyo nimeelewa mimi
sheeeeeee unajua nlikua nasoma thread nyingine nkajua nmeandika kulw uuh sijui ni hiki kimvua na akili imeloana...INNO sorry mwaya
 
hajakuambia ila wewe ndio unaona she is into you badilisha style ya mawasiliano kama ulikuwa unaongea nae mara kwa mara punguza mawasiliano. hii pia itasaidia maana utakapoanza kujisemesha ogh!mimi nna mtu wangu anaweza kukuuliza kwani vp? afu ukawa umejichoresha
.Punguza mawasiliano

Ewaaaaaa Gemmy asante kwa kulielewa hilo kuwa ndio ilikua hofu yangu kubwa.....watu wanabadilika kama kinyonga,wewe unamwambia kwa nia nzuri yeye analigeuza na kutangaza hata kwa watu uonekane mbaya...na hio ndio ilikua hasa sababu ya mm kuomba ushauri wa kudeal na hili suala bila kuathiri reputation ya pande zote mbili...

Asante kwa ushauri wako wa kupunguza mawasiliano kwani mpaka sasa nimemtext just a single sms out of many she sent.
 
Keep it up .Ulimjengea mazingira ya yeye kukupenda kupitia mawasiliano lakini pia utaiondoa hiyi hali the same way .Siku nyingine akikutext unakausha na calls zipungue .Hali aliyonayo itapungua na kuisha kabisa
 
Back
Top Bottom