ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,329
- 51,062
Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa..
upo TRA nnKwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa..
upo TRA nn
Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa..
Anaelipa ni consumer wewe mfanyabishara ni mkusanyaji tuu.Uko dunia ipi ndugu?
Badala ya kukomaa Kila mtu alipe Kodi wewe unamkomalia anayeibiwa Kwa kina la Kodi.
Kodi ya stool, kodi ya kuleta Lori kuleta mzigo, Kodi za miamala, tozo, Kodi ya pango, Kodi ya hamshauri, Kodi ya mapato, vat, nk. Yaani ni kodi hadi hazina majina
Wanayo haki ya kugoma.
Kwanza wahuni, walamba asali na vibaraka wao hawalipi Kodi.
Kwa wafanyabiashara hizo so Kodi Tena Bali unyang'anyi!.
Hapo bandarini bila enforcement nani atalipa? Kwani Kila mzigo unaingia kutoka bandarini? Mzigo unaozalishwa kiwandani au Kwa mtu binafsi itakuaje?Kwanini kodi inalipwa na task force? Kama sio rushwa ni nini? Nani anarchic mizigo isilipwe kodi bandarini? Kwanini ikalipiwe dukani?
Nani anacheza na systems za bandari yetu? Tunawaonea wafanyabiashara wadogo na kuwaacha wakubwa wanaohujumu mambo mengi.
Yes, tuache kuwasumbua wafanyabiashara wadogo. Tudhibiti mianya ya upotevu wa mapato toka kuagiza mpaka kuingiza bandarini
Si typo hpa kwani shida Iko wapi? Nina uhakika hata risiti Huwa hutoi na pia Huwa hudai na ukidai ni Kwa vile ulikuwa unawaogopa TRA task force,Sasa wameondoka nataka nione jinsi Serikali itapata hizo Kodi Kwa hiari.Hakuna unachokijua umeandika andika tuu utoto raha sana...
Fanya biashara wewe ulipe mikodi isiyokuwa na mbele Wala nyuma.Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Tusidanganyane hapa hakuna mfanyabishara Yuko tayari kulipa Kodi Kwa hiari hata Mimi binafsi siwezi kulipa..
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa..
Sio lazima niwepo TRA ,kwani wewe usipolipa Kodi au ukakwepa Kodi kwako Ina sound vizuri?upo TRA nn
Kama Kodi ipi ambayo Haina mbele Wala nyuma? Mbona huzitaji? Kuna Kodi Mpya au zilikuwwpo miaka yote?Fanya biashara wewe ulipe mikodi isiyokuwa na mbele Wala nyuma
Wewe unaona Tanzania Ina miundombinu ya kufanikisha Hilo?Kwa nini tusiwe na cashless society ili miamala yoote iwe ya kielectronic kodi ikatwe juu kwa juu????
Haya mambo ya kulipa cash kulipa kodi ni ngumu sana aseee maafisa forodha na wakata ushuru nao wanazitamani
Mkuu mimi nalipa kodi bila kulazimishwa walikua wananishangaa naenda Custom kulipia mzigo miaka hiyo bila kukwepa kwepa nanyooka Tunduma tena unakadiliwa kawaida tuu wakati ukikamatwa huko Mpemba rushwa wanataka kubwa kuliko kodi uliyokwepa nimewafundisha watu wengi kwenye hilo hata gari nazochukua SA sikwepi kodi nachukua nazoweza kulipa ingawaje kodi yake ni Mlima sana...mazingira ya Wafanyabiashara Tanzania sio rafiki wahuni ndio watoa maamuzi kwenye sekta ya kodi na ndio wanadidimiza maendeleo...Si typo hpa kwani shida Iko wapi? Nina uhakika hata risiti Huwa hutoi na pia Huwa hudai na ukidai ni Kwa vile ulikuwa unawaogopa TRA task force,Sasa wameondoka nataka nione jinsi Serikali itapata hizo Kodi Kwa hiari.
Unaona dhana mbovu na za kijinga kama hicho unaongea,kwamba hutaki kulipa Kodi Kwa sababu umejilisha upumbavu huo unaoita milamba asali,ukiambiwa thibitisha huwezi.Milamba asali, mihuni, mi vijana ya hivyo na Ile ya TRA ikifungua midomo tu inajulikana kwa uvundo wao midomoni.