Kwakweli imeniuma

Kwakweli imeniuma

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1422842958929.jpg
 
itakua umechukuliwa demu wako hapo, yakuuma nini mwanaume
 
vichwa vya habari magazeti ya kesho.

MWANANCHI=acount ya mshana jr,yazua utata ndani ya Jf.
NIPASHE=mshana jr alitibua,apost katuni ilopigwa marufu.
UHURU=mshana jr wa jamiiforums kupandishwa kizimbani kwa kumchafua mkuu wa kaya.

TAZAMA TANZANIA=mshana jr achafua hali ya hewa.
IJUMAA=kizaazaa cha ibuka jamiiforums,member wa jf mshana jr aanza mwaka kwa kumchokoza baba mwenye nyumba.
Polisi nao waahidi kumpa dozi kama ya lipumba.
NYAKATI=mshana mshana mshana,soma alama za nyakati,futa katuni yako.
KISIWA=mshana jr shujaa,atoboa siri za mzee wa boma,ila ajipange kukabiliana sirikali.
MZALENDO=jf majanga matupu,mshana jr atimua vumbi.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
 
Hahahahaaaa hahahahaaaa kitakachokosekana ni picha yangu tuuu Idd Ninga
 
Last edited by a moderator:
itakua umechukuliwa demu wako hapo, yakuuma nini mwanaume

Tatizo ni gazeti la Kenya unaikumbuka ile katuni yao nyingine wakati JK anaingia madarakani wakawachora waandishi wa bongo wakimlamba viatu mhishimiwa?
 
Back
Top Bottom