Kwakweli hii ni kali

Kwakweli hii ni kali

MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!

But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death!

Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.

ah wapi the best days za marriage ni uzeeni mkiwa mmeshajuana, hapo mwanzoni kila mtu anasumbuliwa na ujana tu, wivu wa kijinga kwa sana yani full utoto tu
 
Yaani hadi inaboa unaona comments 50 kumbe 40 uchakachuaji

Sasa we inakuboa nini?
Unataka kujadili nini?
Kumsahau mkewe?
We nawe hebu tuache aisee
Mwenye uzi katulia we unajifanya inakuuma.
Halafu Nicas Mtei nawe unakuwa km nanii aisee...umekuja kuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Leo unaniita chura! mwezi ujao..utaniona chura mimi ninavyokula masato na masangara...
Chocs..najua si wewe na wala si akili yako inayokufanya unifananishe na amphibia!
Mkuu Nicas Mtei, tuwieni radhi!! hatuchakachui tena..

Achana na hawa jamaa we kula bata humuhumu...watoke wao km wanaboreka eboooo
 
Last edited by a moderator:
mh nyie ndo wale wakutuletea magonjwa ndani ya ndoa..tulizana kijana je mkeo nae akisema hivyo ndoa itafika asubuhi kweli
 
Back
Top Bottom