Kwakweli hii ni kali

Kwakweli hii ni kali

Ok, karibu sana tule sato na sangara
Ngoja ni organize na Mr hapa then upate pahala pazuri pa kufikia

hapana!
sikutaka kabisa umshirikishe huyo mr. wako!!
na kama umemwambia na hairisha safari yenyewe..
 
mie siamini kama ulisahau, hivi ni kweli? au unatania?? ile shughuli eti how can you forget your lovely wife just married, dahh i cant believe, anyway do something.
 
mie siamini kama ulisahau, hivi ni kweli? au unatania?? ile shughuli eti how can you forget your lovely wife just married, dahh i cant believe, anyway do something.

Mazowea yananafasi ktk maisha. Hii hali itaisha taratibu kwa sababu naanzisha mazowea mapya ya kuishi na mke
 
Hujatulia wewe, umevamia fani wakati hujakomaa vya kutosha.
 
Alokuambia yuko Mwz nani?
Mbona naona unanifuatafuata na mke wangu? kiwatengu angalia sana aisee nitakuharibu vifanyio vyako ooooh
Look very kijana.

Copy kwa Chocs

Kwanza wewe ni acha acha...i'll tell Chocs about ths!
mbaya zaidi kuiacha mpaka utangaze, kama ulivyomfanyia yule mwingine..
Ngoja niende Mwanza tu!
utaipata habari ya mmakonde mimi..
 
Last edited by a moderator:
Kwanza wewe ni acha acha...i'll tell Chocs about ths!
mbaya zaidi kuiacha mpaka utangaze, kama ulivyomfanyia yule mwingine..
Ngoja niende Mwanza tu!
utaipata habari ya mmakonde mimi..

Heheheee
Ndio unanitishia?
We nenda ila hutaambulia kitu.
Kwanza nikiona chenga nahamia zangu Airtel au narudi zangu kwa Kipipi na Amyner
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kweli sijatulia. Hebu niambie ww ilikuwaje ulipo oa au kuolewa?
Ilikuwa ni tofauti sana na ulivyo wewe baada ya ndoa.
Hali hiyo isingetokea kama kweli umekomaa vya kutosha kuingia maisha ya ubaba mwenye nyumba. Ni lazima uwe umechoka style ya maisha ambayo wewe bado unayapenda, ingekuwa vizuri zaidi mdogo wangu ukamalizia kwanza uliyoyapenda kabla ya kuingia maisha ya ubaba na majukumu mazito kama hayo.

Unayoyafanya wewesi ajabu yalishawahi kutokea, kuna wazazi waliforce mtoto wao wa kike kuolewa na mbaba wakati hajakuwa tayari kwa maisha ya umama wa nyumba. Matokeo yake asubuhi ilipofika mume anasubiri mke achakarikie kifungua kinywa, si akakutwa anacheza mdako na watoto wenzake nje!
 
Heheheee
Ndio unanitishia?
We nenda ila hutaambulia kitu.
Kwanza nikiona chenga nahamia zangu Airtel au narudi zangu kwa Kipipi na Amyner

Ha ha ha ha! na siachi ng'oo.. Chocs! u heard him..
Yaani we kuacha ni kirahisi rahisi tu..
nitaenda Mwanza!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom