Kwakweli hii ni kali

Kwakweli hii ni kali

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,048
Reaction score
4,449
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Ilikuwa ni juzi ya jumamosi nilipofunga ndoa ya kikristo.
Nimefungua ukurasa mpya wa maisha.
Nimaisha yanayohitaji umakini sana ktk kila jambo unalofanya.

Kituko ni hiki sasa

Kunawakati najisahau kuwa nimeoa. Mhhhh naweza nikawa naplani ratiba zingine kama enzi hizo nikiwa sijaoa.
Badae nakuja shituka haaaaaaaaaaaaaaaa kumbe bibie yupo home na ananisubiri.

Swali langu kwa wanandoa
Hivi hata wewe ilikutokea hii pindi tu ulipo oa au kuolewa?
 
MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!

But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death!

Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.
 
Thax hasa hapo kwenye blue
 
Hey!! I love u sana ati....
 
Ni kawaida unajua ni maisha mapya. Hata mimi nilipoolewa siku za mwanzo nilikua najisahau nahisi nachelewa kurudi nyumbani kwetu nakuja kustuka kumbe nipo kwangu sihitaji kurudi nyumbani. Wakati mwingine nilkua najihisi kama bado nipo home vile. Ni ktu cha kawaida utazoea.
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Ilikuwa ni juzi ya jumamosi nilipofunga ndoa ya kikristo.
Nimefungua ukurasa mpya wa maisha.
Nimaisha yanayohitaji umakini sana ktk kila jambo unalofanya.

Kituko ni hiki sasa

Kunawakati najisahau kuwa nimeoa. Mhhhh naweza nikawa naplani ratiba zingine kama enzi hizo nikiwa sijaoa.
Badae nakuja shituka haaaaaaaaaaaaaaaa kumbe bibie yupo home na ananisubiri.

Swali langu kwa wanandoa
Hivi hata wewe ilikutokea hii pindi tu ulipo oa au kuolewa?

We jiendekeze kusahau kama umeoa, utatinga na changu home ndo utatia akili
 
Ni kawaida unajua ni maisha mapya. Hata mimi nilipoolewa siku za mwanzo nilikua najisahau nahisi nachelewa kurudi nyumbani kwetu nakuja kustuka kumbe nipo kwangu sihitaji kurudi nyumbani. Wakati mwingine nilkua najihisi kama bado nipo home vile. Ni ktu cha kawaida utazoea.

Hongera sana kwa kuolewa...
 
MHHHHHHHHHHHHH! We utakuwa umejoforce kuoa si bure! Mi najua watu wakitoka kuoa they cant wait to get home! Saa kumi na nusu hata akiambiwa kuna OT atabaki na kutukana kamusi yote ya mitusi jst because anacheleweshewa cha jioni!But you actualy forget ya wife? Like seriously? Damn! Miezi 2 tu si utakuwa bored to death! Sikufichi the best days in marriage are these first ones! Wishin you luck in gettin stuck with 1 person for the rest of ya life.
labda ndoa ya mkeka ila sio ya kikristo kama anavyosema.
 
nina mpango wa kuja mwanza next month..nitafutie sehemu nzuuri yakufikia best..
Ok, karibu sana tule sato na sangara
Ngoja ni organize na Mr hapa then upate pahala pazuri pa kufikia
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,

Ilikuwa ni juzi ya jumamosi nilipofunga ndoa ya kikristo.
Nimefungua ukurasa mpya wa maisha.
Nimaisha yanayohitaji umakini sana ktk kila jambo unalofanya.

Kituko ni hiki sasa

Kunawakati najisahau kuwa nimeoa. Mhhhh naweza nikawa naplani ratiba zingine kama enzi hizo nikiwa sijaoa.
Badae nakuja shituka haaaaaaaaaaaaaaaa kumbe bibie yupo home na ananisubiri.

Swali langu kwa wanandoa
Hivi hata wewe ilikutokea hii pindi tu ulipo oa au kuolewa?
Na uishie hapo hapo kwenye kupanga ratiba za kibachela, jiangalie usije ukayatamka majina ya ma-X wakati unamndoa mkeo...
 
Hii habari mpya atii...
Haiwezekani ukasahau kuwa umeoa, maana nina imani ile furaha ya kumaliza shughuli vizuri, memories zile za honeymoon, ukiwaza na kuwazua mahanjumati ya bi mkubwa, bado hujafikiria mambo ya katerero...loh!!! mbona nitakua mtu sometimes una-call sick ofisini na uzuri huwa wanaelewa kabisa kuwa jamaa ndio kapata cha kwenye makaratasi....
 
Back
Top Bottom