Kwakweli bata ukimchunguza sana huwezi kumla

Sometimes we build a future on the past!!!!!!!!!!!!!!!

Hebu imagine this............Hivi baby ulivyo mtamu hivi kweli ex wako hakutafuti....jibu liwe; watanifutaje wakati wote wameshafariki.........!!!!!????

...sina budi kukubaliana na maoni yako! Very true mkuu!!
 
Mungu Nisaidie Wasichana Waliotumika Sana Waniepuke,Napenda ....."BRAND NEW SIYO MITUMBA.AHSANTE".
 
Tusaidie mkuu namna ya kumchunguza kama alikua akitoa 0712 au alikua mtu wa viwanja elimu tafadhali.

Mkuu, hiyo kitu lazma uifanye..ukianza Na mwanamke Ni LAZIMA uangalie/uchinguze rare side, naogopa kutoa hints ila tafadhali chunguza, usije beba vilivyoliwa vikaisha...
 
hahahaha hayo maswali huwa ni ya kijinga sana na hakuna anaye sema ukweli bali uongo!

Alaf kila upande huwa unasema nilimuacha na aliye achwa ana sema nilimuacha.
 
mkuu bila uchunguzi siku hizi utaishiwa kutambulishwa ma x wake kwa kauli zifuatazo:
- binamu yangu
- tulisoma nae
- kama jibaba uncle etc.
fedheha za nini?! nachunguza tu kwanza...
 
Mambo ya kuanza kuulizana past bana yanazingua, cha msingi ni jinsi gani mtu amejipanga kusahau the so called "X" na kuanza mahusiano mapya.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mimi nilikuwa nauliza swali moja tu baada ya kuulizwa my past!!!!!??????

Unataka jibu la kweli au la kukuridhisha!!!!!????

Unanikumbusha mikutano yangu na halmashauri za vijiji, baada ya msururu wa maombi. Huwa nawauliza mnataka majibu ya ukwelii au ya kisiasa.

Inasaidia sana, na most of the times wanataka ya ukweli. So nawambia hili litawezekana lkn so and so and so are next to impossible coz hayajawa budgeted na pia hatuoni kama ni sustainable.
 
Sometimes we build a future on the past!!!!!!!!!!!!!!!

Hebu imagine this............Hivi baby ulivyo mtamu hivi kweli ex wako hakutafuti....jibu liwe; watanifutaje wakati wote wameshafariki.........!!!!!????

Na akikwambia kuwa hawaishi kumtafuta. Tena Frank yule mwenye dushe kubwa ndio ananisumbua sana, lkn John yule handsome anayejua kunispoil ameniambia atanifuata nikienda kufunga mzigo Bangkok. Halafu wewe ni kibamia tena mhudumu kwenye zahanati ya gerezani.
 
Mambo ya kuanza kuulizana past bana yanaingua, cha msingi ni jinsi gani mtu amejipanga kusahau the so called "X" na kuanza mahusiano mapya.

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Heheheheheh n that's the master key kweli aiseee
 
mkuu bila uchunguzi siku hizi utaishiwa kutambulishwa ma x wake kwa kauli zifuatazo:
- binamu yangu
- tulisoma nae
- kama jibaba uncle etc.
fedheha za nini?! nachunguza tu kwanza...

Hakuna kuaminiana kati yenu
 
i never ask, and i don think if i will.
Mie mwenyewe sipendi kuulizwa about my past na kwa nini niulize ya mwenzangu.
Past kamwe hai-determine a better future hata siku moja
 
Na akikwambia kuwa hawaishi kumtafuta. Tena Frank yule mwenye dushe kubwa ndio ananisumbua sana, lkn John yule handsome anayejua kunispoil ameniambia atanifuata nikienda kufunga mzigo Bangkok. Halafu wewe ni kibamia tena mhudumu kwenye zahanati ya gerezani.

Heheheheh LAziMA unywe drip za wagonjwa kudadadeki si umetaka chai hakuna kulalamika unaungua
 
Sometimes we build a future on the past!!!!!!!!!!!!!!!

Hebu imagine this............Hivi baby ulivyo mtamu hivi kweli ex wako hakutafuti....jibu liwe; watanifutaje wakati wote wameshafariki.........!!!!!????

Umesababisha nicheke kwa sauti ya juu na vile ni usiku mnene sauti inapaaje???
 
Back
Top Bottom