gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
- Thread starter
- #21
Huwa sikuulizi lakini nachunguza kivyangu kama CIA, nikijiridhisha naendelea nikigundua makubwa nasitisha.
Ukute mkeo alikuwa anagawa 0713 na wewe unajidai nina mke, kumbe alishatoa mimba 5 na wewe unajidai nimeoa mke toka kwa Mungu.
Ukute mumeo ni sawa na wanaojipanga Meeda au Ambiance lakini yeye anafanyia ofisini, na wewe unajidai nimesali nikapewa mke mwema.
Kama wewe mwanamke unaweza ukaoa shoga.
Uchunguzi muhimu sana.
Let's assume sio alikua anagawa mtandao tu au akitoa mimba 5 tuseme alikua changudoa kabisa au Malaya mbwa yaani but she changed deeply
And besides she real mean wat she is doing now (marriage/relationship) what else do u need?
Kwa mwanaume tuseme alikua shoga so what n he is not anymore(kachange VP t doesn't matter what mataz he is not a gay anymore) he satisfy u on bed na anafil majukumu ya mume na baba so what else do u need?