figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Nimejaribu kuandika kama alivyosimua Mariam Paul kwenye Video hapa chini.
Christmas ya mapinduzi. Mwaka 1965 alekwa Raisi wa Romania, Geoge Geogu Deji.
Alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mjibu wa katiba yao, Raisi akifia madarakani. Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti, PCR, anarithi kiti chake. Ata hivyo, Nikolae Ceausescu alivyopata bahati ya kua Raisi wa Romania bila kutarajia Urais wa Mirathi.
Alipoingia alijaribu kuonyesha yeya ni tofauti na mtangulizi wake. Aliwaachia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na Wapinzani kuendeleza miradi ya mtangulizi wake. Hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu, (affordable housing)
Alitekeleza miradi mingi ya ujenzi kiasi kwamba hakuona hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi ili kujenga lakini kumbe alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo. Sehemu kubwa ya fedha zilirudi kupitiaa kampuni zake au za ndugu zake.
Alipandisha Deni la Romania kutoka dola biloni moja mwaka 1965 hadi dola bilon tano mwaka 1970. Yani Deni la Taifa niliongezeka mara tano ndani ya miaka mitano tuu.
Madeni hayo yalitokana na kukopa pesa nje ya nchi zenye riba kubwa. Kwa hiyo, alilazimika kuanzisha tozo na kodi mbali mbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni. Wananchi wa Romania walinuka kodi na tozo. Kiasi kwamba baadhi walikimbilia nchi jirani kama Serbia na Hungary.
Alianzisha kodi hadi kwenye mazao ya chakula kiasi kwamba garama ya chakula ziliongeze mara dufu na watu wengi walishindwa kumudu hata mlo moja lakini alifanya hivyo ili kupata fedha za kulipa madeni.
Polepole Chausescu alianza kubadilika kutoka kiongozi wa marithiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Hakutaka kukosolewa wala kupingwa. Wale walojaribu kufanya hivyo walipotea kutekwa kuuawa kikatili na mili yao kuokotwa ufukweni na wengine walifungwa jela kwa makosa ya uhaini.
Kwa mujibu wa tarifa ya CIA iliyyotoka mwaka 2010, Romania Situations Report ilionesha kuwa hadi mwaka 1980 Raisi Chausescu. alikuwa na kikosi cha siri cha zaidi ya watu 1070, Wasio julikana, ambao walihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashitaka ya uongo. Kikosi hicho hakikuwa katika mfumo rasmi unautambulika.
Kwa hiyo, kiliaza kufanya ukatili wa aina yoyote bila kuajibishwa. Miili ya watu, walio mkosoa Raisi Chausescu, iliokotwa katika fukwe za bahari nyeusi, (The Black Sea). Ikiwa na majiraha, polisi walisema, uhalifu huo, ulifanywa na watu wasiojulikana na kuahaidi kuwatafuta, lakini hakuna muuaji aliyewahi kukamatwa.
Matukio haya yaliendelea kushamiri, watu walikamatwa mchana kweupe wakiwa maofisini kwenye biashara zao au kwenye vyombo vya usafiri na kuenda kuuawa. Raisi Chausescu hakuwahi kukemea wala kuonyesha kusikitishwa na vitendo hivyo. Katika kuimarisha utawala wakew
Wa kiimla.
Rais Chausescu alihakikisha anizikontro mahakama na bunge ili kutekeleza maagizo yake badala ya mihimili inayojitegemea. Bunge likageuka mwana sesere wakumsifia raisi na mahakama ikapoteza uhuru wake na kuwa chombo cho kufanya maamuzi kwa kumfurahisha Raisi.
Katika giza hilo totoro, makanisa nayo yakageuka kasuku wa kusifia Serikali badala ya kusimami ya haki. Kanisa la Orthodox la mashariki lenye waumini wengi zaidi Nchini humo. Zaidi ya asilimia themanini lilikuwa linatoa nyaraka za kumsifia raisi na kuwataka wananchi kutii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.
Ili kulikontrol bunge vizuri, Chausescu alijenga bunge kubwa la kifahari ambalo ni bunge la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon likiwa kwenye eneo la KM za mraba, 365 ambalo ni kubwa zaidi ya nchi yoe ya Malta. Lakini kaskazini magaribi mwa Nchi hiyo katika mji watimi Soara kulikuwa na kanisa la Kiluteri lililukua likiongozwa na mchungaji Lazotokes.
Alikuwa mmoji wa watu wachache waliothubutu kuikosoa Serikali ya kidikteta ya Chausescu hadharani. Alikosoa kukithiri kwa vitenda vya ufisadi, kukosekana kwa uhuru wa kuabudu, makanisa kufungwa, wapinzani kutekwa, kupotea, kuuawa na wengine kupewa kesi ya uhaini. Pia mchunga ditokes alipinga mauwaji ya kabila lawa magayar yaliyoendeshwa na kikosi cha siri cha raisi Chausescu.
Katikati ya mamilioni ya wananchi waliokuwa wakimsifu Chausescu na kumnyenyekea, Mchungaji Tokes, alisimama imara kumkosoa, alipewa onyo na mamlaka kuacha kuchanganya dini na siyasa, lakini hakutii. Aliendelea kukosoa na kupinga vitendo vya utekaji, kufunga makanisa, ufisadi na vinginevyo.
Tarehe 25 disemba 1989 Serikali ilifunga kanisa la mchunga di Tokes. Raisi Chausesku akamuita wakala wa shetani, akaagiza akamatwe. Bada ya amri hiyo, waumini na majirani zake walizingira nyumba yake ili kuzuia askari kumukamata. hadi disemba kuminasita, polisi walikuwa hawajefanikiwa kumukamata mchunga Ditokes.
Rais Chausescu akatua amri ya kuua mtu yeyote aliekwamisha zoezi hilo, Polisi wakawamiminia risasi kama njia ya kuwatawanya wandamanaji. Siku ya kwanza waliua watu 106 na kutishia kuua zaidi kama hawatatawawanyika kwa hiyari. Lakini kadri polisi walivotumia nguvu ndivyo wandamanaji walivyoongezeka.
Maandamano ya kashika kasi na kuhamia miji ya klaji na poka. Brasov Konstanta.
Galati na hatimaye kufika mji mkuu bucha resting. Hayakua tena maandamano ya kuzuia mchungaji Tokes kukamatwa, bali kupinga utawala dhalimu wa Raisi Chausesku. Kile kilichuanza kama maandamano ya kidini kilibadilika kwa maandamano ya kupinga serikali. Raisi Chausesku akaamuru waandamanaji wadhibitiwe kwa nguvu na ikibidi wauwawe.
Polisi na jeshi wakatumia risasi na mabomu. Vifaru vya jeshi vikaingia mtaani kukabiliana na wanda manaji. Watu 1300 waliuawa ndani ya siku tatu. Mauaji hayo yalichochea hasira zaidi kwa wananchi na kuingia barabarani.
Jeshi liliaza kukata amri za kupiga raia lakini polisi waliendelea kupiga. Jeshi likabadilika na kuanza kulinda raia na kuzuia polisi kutumia nguvu.
View: https://youtu.be/D8DQ-Axi1V0?si=gV-vQnHn4yoFI2nQ
Disimba 21 maandamano yalifika ikulu ya Butcherist ambapo Raisi Ceausescu alijaribu kuhutubia lakini hotuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani. Ilikuwa mara ya kwanza hutuba ya Raisi kuingiliwa mwje kwa mwje hatharani.
Tarehe 22 Discemba, 1989 Raisi Ceausescu na Mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya ya umati wa watu wakizomewa kwa mauaju na ufisadi.
Walishitakiwa katika mahakama ya kijeshi, Military Tribunal, ambapo kesi ilisikilizwa kwa siku tatu tu, walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifu.
Tare 25, disemba, 1998, raisi Nikolae Chausescu na mkiwe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku wananchi wakishuhudia na kushangilia.
Na huo, ukawa mwisho wa utawala wa kidikteta wa Nikulaye Chausseesko. Siku hiyo, ikapewa jina Christmas ya Uhuru. Krasium Revolutionar, umejifunza nini?
Summary
Nikolae Ceausescu alirithi urais wa Romania ghafla baada ya kifo cha raisi wa awali mwaka 1965. Alijaribu kuonyesha tofauti na mtangulizi wake kwa kuachilia huru wafungwa wa kisiasa na kuendeleza miradi ya maendeleo kama ujenzi wa nyumba za bei nafuu
Nani alikuwa rais wa Romania mwaka 1965 na nini kilimtokea akiwa madarakani?
Rais wa Romania mwaka 1965 alikuwa Geoge Geogu Deji. Alifariki dunia akiwa madarakani.
Ni nani alirithi uraisi wa Romania baada ya kifo cha rais Geoge Geogu Deji?
Katibu mkuu wa chama cha komunisti, PCR, Nikolae Ceausescu, alirithi uraisi wa Romania baada ya kifo cha rais Geoge Geogu Deji.
Nikolae Ceausescu alifanya nini alipoingia madarakani?
Alijaribu kuonyesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake kwa kuachilia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na wapinzani, na kuendeleza miradi ya mtangulizi wake hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu.
Je, miradi ya ujengaji ilitekelezwa vipi na Ceausescu?
Alitekeleza miradi mingi ya ujengaji bila hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi, lakini alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo.
Deni la taifa la Romania liliongezeka vipi chini ya Ceausescu?
Deni la taifa liliongezeka kutoka dola bilioni moja mwaka 1975 hadi dola bilioni tano mwaka 1980, yaani deni liliongezeka mara tano ndani ya miaka mitano.
Nini kilichosababisha wananchi wa Romania kunuka kodi na tozo?
Ceausescu alianzisha kodi na tozo mbali mbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni, ikiwa ni pamoja na kodi kwenye mazao ya chakula, jambo lililosababisha gharama ya chakula kuongezeka na watu wengi kushindwa kumudu mlo mmoja.
Jinsi gani Ceausescu alibadilika katika utawala wake?
Polepole alibadilika kutoka kiongozi wa maridhiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma, hakutaka kukosolewa wala kupingwa, na wale waliyojaribu kupinga walipotea, kutekwa, kuuwawa au kufungwa jela kwa makosa ya uhaini.
Kikosi chasiri cha Ceausescu kilifanya nini?
Kikosi chasiri kilihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashitaka ya uongo bila kuajibishwa, na kilifanya ukatili wa aina yoyote.
Je, Ceausescu alikemeaje vitendo vya ukatili na ufisadi?
Hakuwa na nia ya kukemea vitendo hivyo, badala yake alihakikisha mahakama na bunge viko kama vyombo vya kutekeleza maagizo yake, na makanisa yaligeuka kasuku wa kusifia serikali badala ya kusimamia haki.
Kanisa la Orthodox lilichukua nafasi gani katika utawala wa Ceausescu?
Kanisa la Orthodox lilikuwa na waumini wengi zaidi nchini na lilikuwa likimsifia raisi na kuwataka wananchi kutii mamlaka kwa sababu zinatoka kwa Mungu.
Nani alikuwa mchungaji aliyejaribu kukosoa utawala wa Ceausescu?
Mchungaji wa kanisa la kiluteri la Azotokes alikuwa mmoja wa watu wachache waliothubutu kumkosoa Ceausescu na utawala wake.
Nini kilitokea mchungaji Tokes na kanisa lake?
Serikali ilifunga kanisa la mchungaji Tokes, akaitwa wakala wa shetani, akaagizwa akamatwe lakini waumini na majirani zake walimkinga kwa kumzuia askari kumkamata.
Maandamano yalitokea lini na kwa nini?
Maandamano yalianza Disemba 19, 1989, kwa ajili ya kupinga utawala wa Ceausescu, hasa baada ya serikali kutumia nguvu kupambana na waandamanaji.
Jeshi na polisi walitumia mbinu gani kupambana na waandamanaji?
Polisi walitumia risasi na mabomu, vifaru vya jeshi vikaingia mtaani, na watu elfu moja mia tatu waliuawa katika siku tatu za maandamano.
Jinsi gani jeshi lilibadilika katika maandamano hayo?
Jeshi liliaza kukata amri za kupigana na raia na kuanza kulinda raia na kuzuiya polisi kutumia nguvu kupita kiasi.
Nini kilitokea Disemba 21, 1989, Ikulu ya Bucharest?
Rais Ceausescu alijaribu kuhutubia lakini hutuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani, mara ya kwanza hutuba ya raisi kuingiliwa moja kwa moja hadharani.
Nini kilitokea Disemba 22, 1989?
Rais Ceausescu na mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya umati wa watu waliowazomea kwa maneno na kuwahukumu kwa haraka mahakamani.
Jinsi gani Ceausescu na mkewe walihukumiwa?
Walihukumiwa na Mahakama ya Kijeshi kwa hatia ya uhalifu na kufungwa kifo.
Nini kilitokea Disemba 25, 1989?
Rais Nikolae Ceausescu na mkewe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku watu wakishuhudia na kushangilia.
Nini jina lililotolewa kwa tukio la kuangushwa kwa utawala wa Ceausescu?
Tukio hilo lilipata jina la Christmas ya Uhuru.