π π πUtachoka zaidi siku crushie wako akianzisha sired kwaajili ya mtu mwingine
Cc; Sister Sky Eclat kuna barua yako ya wazi kabisa huku..!
How I wish crushie wangu wa humu JF ndo angekuwa ameanzisha hii siredi..!!
Ushauri wako ni muhimu kuokoa jahazi mkuu hearly ...Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa
Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active
Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa
Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active
Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Unaweza kufa na kihoro tu humu
Acha Uoga Baharia Ajali Kazini MkuuLol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa
Nakumbuka nina rafiki yangu humu alikuwa in relation na mwanamke 1 alikuwa anakuja kasi sana hapa..now days hayupo active
Basi Bwana wakati huo huo wapo in love. .basi Kuna siku Akapigwa na butwaa baada ya kuona Kuna Jamaa amemfungulia thread ya mahaba. .full kubebi Shana humu. .hahaa Daah ... mahusiano ya Jf sitaki hata Kuya sikia
Mahusiano ya humu matamu sana kama una-lay low! Mtu asijue yaani...[emoji23]Lol ..mapenzi ya Jf utakufa kwa pressure. .hahaa