Nije nilinyanyueIli?
Mapema mnoooo kutoa tathmini kwangu sikukuuuuu inaendeleaaaaWakuu,
Tujuzane sikukuu ilivyokuwa,
Mimi nimesali Mbagala KKKT ibada zilikuwa tatu zilijaa sana mbili za mwanzo.
Nimefurahi kuona watu wakiwa wengi kwenye sikukuu hii.
Barabrani magari ni machache hakukuwa na foreni sana.
Nimepita kwa bro nimekula nyama ya mbuzi now naenda zangu kulala.
Nikifika kanda ya Ziwa nitakutafuta. Mimi ThomasoAiseeee tena huwa hainileweshi nikitaka kulewa nakunywa na konyagi
Kama ana mume si analiangushia huko,Ukiangusha gari ni beep
Nani atamuoa mwanamke asiyelewa balimi mpaka apate bapa ndio apate stimu ?Kama ana mume si analiangushia huko,
Mama mwenye nyumba wa zamani 45,000 you must be joking. Bi mkubwa u(mama mzazi ) ulimtumia kiasi gani ???nilinunua kuku wa tatu na madiko diko asubui kama elf 50 nikanunua juice elf 20 nikamnunulia mama mwenye nyumba wa zamani kikaton cha tusker lite lite supermarket 45000 nikapika nikala na marafiki zangu wamelala huko mimi nachati hapa sina usingizi nahisi laki imekata sijui nitapata wapi mzamini january *****!
tulimzika na jeneza la milioni mojaMama mwenye nyumba wa zamani 45,000 you must be joking. Bi mkubwa u(mama mzazi ) ulimtumia kiasi gani ???