mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,840
Wakuu,
Tujuzane sikukuu ilivyokuwa,
Mimi nimesali Mbagala KKKT ibada zilikuwa tatu zilijaa sana mbili za mwanzo.
Nimefurahi kuona watu wakiwa wengi kwenye sikukuu hii.
Barabrani magari ni machache hakukuwa na foreni sana.
Nimepita kwa bro nimekula nyama ya mbuzi now naenda zangu kulala.