Kupata sio lazma hata probability ni 10 ya 100 ila hata nafasi za teaching private zitapatikana n. kUkiwaza sana ajira hupati
mpaka tutakapoandamana kudai haki zetuSijui nini kimewasibu,kimya sana,yawezekana wakasubiri hadi mwaka mwingine wa fedha.
Utasubiri saaanaUsaili utafanyika kuanzia february 20/2025