Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan.
Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Ruksa kutoa matusi wale wa upande wa pili mana mnalilia uongozi na hampati huo uongozi.
Blue
Nyeusi
Kijani
Manjano
(TANZANIA)
Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Ruksa kutoa matusi wale wa upande wa pili mana mnalilia uongozi na hampati huo uongozi.
Blue
Nyeusi
Kijani
Manjano
(TANZANIA)