Kwako Profesa Ndalichako

Hivi kumbe degree ni kuchukuwa?....Elimu ya bongo bana.
 
Kumbe Tanzania ina watu wenye akili kiasi hiki?Wangekuwepo wengi ingependeza sn.
 
we yan kwa uchungu nilionao nmetamani nikutukane ila mi nikwambie to haya maisha to we uliyepiga misuli ukapata AA hongeraa endelea ila iko siku Mungu atakudhirishia kuwa ukipata usidharau wengine ovaa



 
we yan kwa uchungu nilionao nmetamani nikutukane ila mi nikwambie to haya maisha to we uliyepiga misuli ukapata AA hongeraa endelea ila iko siku Mungu atakudhirishia kuwa ukipata usidharau wengine ovaa
Teh nisamehe mkuu usinitukane ongeza juhudi.
 
Real....watu wamedharaulika sababu hiyo....mtu ana EE afuu anaenda sant joseph anatoka na honorouble first class mwenye one ya tatu mlimani katoka na second class......fharau zimezid.
hivi unajua E inanzia ngap mpk ngap
 
Kama ulipiga PCM PGM PCB 2013 na miaka ya nyuma
usingeongea pumba hizi wewe.
 
Heshima ya shahada itarud sasa..prof Ndalichako komaa na hili..shahada za kiujanja ujanja zikomeshwe
 
Mtoa mada umeongea kitu muhimu lakini ukosefu wa ajira unawafanya watu wasifikiri kwamba Ndalichako amelewa sifa. Ni sahihi na ninaunga mkono hoja ya kuwatafuta wote wenye vyeti feki lakini siungi mkono hoja ya entry qualification za watu ambao wameshaanza au walishasoma. Pomoja na kwamba mimi sikuwa na performance za chini levels zote lakini fikiria kuhusu jamii iliyosoma shule za kata wakapata ufaulu wa chini wakasoma hizo Foundation course kwa kuuza mashamba yao ili na wao wapate degree kwa utaratibu halali kwa wakati huo leo Ndalichako anawaona kama kinyesi. Nimeamini huyu mama ndio maana majirani zetu katika imani hawaamtaki maana amepitiliza .
 
Ukiangalia TCU NOTICE ADMISSION CRITERIA:
4.0 No Admission For Foundation/Bridging Programmes.
All Foundation/Bridging Programmes ,including University Qualification level 6(UQF6), have been stopped altogether with effect from 2016/2017 academic year. Therefore such programmes are not alllowed to admit students.
Kwa sisi wanasheria,tunaona mama anaongea kufuraisha mdomo wake.Hawezi ku render certificates invalid kwa watu waliopitia hizo foundation programmes.
 
Mkuu hili jambo limesikitisha sana kwani nikichulia mfano vijijini kwetu, kabla shule za kata wanafunzi walichaguliwa kwenda shule za serikali zenye unafuu kama old moshi, kwiro, Pugu, Minaki n.k ndio maana sisi wengine tulisonga zaidi. Lakini Tangu shule za kata zianze watoto wa kijijini kwetu wanapelekwa shule za jirani ambazo hazina ubora matokeo ni mwendo wa div zero na four baada ya wanakijiji kuuza mbuzi na mashamba yao yaani inatia hasira sana, yaani matokeo yake ata kama ndugu yako ana akili atachaguliwa shule za kata na ukitaka asome lazima umpeleke private
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…