Kwako Ole Gunner Solkjær

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
967
1,692
OGS nakuombea kila la heri leo maana kwenye GROUP letu la WhatasApp watu wamesha andika MAKALA YA UDHAHIFU WAKO, MAKOSA YAKO, CV YAKO kwakifupi MISHALE IPO KWAKO wanasubiri UTELEZE TU uweze kujua RANGI YAO RASMI NI HIPI.

OGS omba sana, sali sana maana wapo MASHABIKI WENZETU NA MAMLUKI siku ya leo PENI, VIDOLE VYAO vinaandika MAN UNITED ishinde ila NAFSI ZAO wanataka ufungwe ili tuu UNABII WAO utimie waseme "tulisema sisi"

OGS nipo nyuma yako kwa heri ama kwa shari bado naamini njia unayo tupitisha ni SAHIHI ijapokuwa ni ngumu kutokana na MABOSS ila haina shida TUTAFIKA najua MOYONI MWAKO unamtaka KANE ila maboss wanataka kumchukua KIPA wa TOTTENHAM tena kipa namba 3 najua!..

Unaumia na LAWAMA za mashabiki mitandaoni uwanjani.

Najua hata ukitwaa hili kombe watasema si wewe bali ni Sir Alex Ferguson ndio amekusaidi kwani kwao wewe huna hadhi hiyo.

Kwao timu inaposhinda ni juhudi binafsi za wachezaji ila inapofungwa huna mbinu!

Mashabiki wenzetu tena wanavaa na jezi zetu wanasema hujui kufanya sub waala kupanga kikosi hujui kubadirika kutokana aina ya mpinzani,hata nikiwakumbusha kua manchester united ndio timu inayo ongoza kwa magoli ya wachezaji walio tokea sub.

Nawaambia Ulaya nzima Msimu huu Manchester United ndio timu ilio vuna point nyingi wakitomea nyuma(comeback) kuliko timu yoyote ulaya, awari ya yote Manchester United ndio timu Pekee haija poteza Mechi ugenini.

Wanasema mengi sana juu yako OGS..kwa leo ni ishie hapa tusibiri kombe niwaskikize watasemaje nitakuja kukwambia.

GGMU viva OGS viva

manchesterunited_190990091_3230335167203182_1737258091179554652_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom