Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Sema kweli
Bado tu shanga na vikuku! Haki sawa!
Bado tu shanga na vikuku! Haki sawa!
ndo kilichobaki, ukiona toto la kiume linasifiwa na wanaume watu wazima kwamba anakata kalio kama mama yake na yeye anazidi kulizungusha huku ukute kajaaliwa nundu unadhani kifuatacho ITV ni nini!Sema kweli
Mke anaoga na wewe unaogaMkeo anakula chipsi nawe unakula chipsi

mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia
shambulio la aibu hili.Mkioana kwa hobby zinazofanana namna hii inapendezaMkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!
Mnatudhalilisha.
Vv