Kwako Mpenzi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Mpenzi.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, May 31, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mpenzi wangu

  Kuthibitisha nimeachana na yule mpenzi wangu wa zamani, nimekuambatanishia na picha siku nilipo mpa mkono yule dada. Bila shaka tutaishi kwa amani na upendo

  Wako daima

  Masa Juniour

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  There is no attachment here......Rev parokiani hakuna umeme?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Revisit the first post!
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Masa bwana leo umeamua kumgawia mwenyewe maumivu yake sio?
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Halafu kama ulikuwa unajianda kucheza kiduku,halafu dada anasikilizia kwa mbalii :tonguez:
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhhhh
  Kijana mwenyewe ana mbavu mbili
  huyo dada tayari kasha jiweke kwenye
  position nzuri ya kum tackle si amuweke tu
  chini na kummaliza hizo mbili zilizobakia..
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Rev.
  Ugomvi huo hatutaelewela asilani
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Umegoma jibu PM sasa mimi imebidi niweke huku! Lol samehe bure
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Bado uko mwembamba hivyo?/ Au umenenepa kidogo
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ilikuwa wapi hii Rev?
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kwa mbaaali mdingi anaangalia pambano akiburudika kwa uji. Hapo si ajabu kisa ilikuwa kapika uji mbichi.
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mbona kama unataka kunidhalilisha ?
   
 13. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Kwa mbaaali mdingi anaangalia pambano akiburudika kwa uji. Hapo si ajabu kisa ilikuwa kapika uji mbichi.

  hahahaahahahahahaahaha...nimependa kisa cha ugomvi..ila mdingi hajari anaunywa ht km mbichi uji
   
Loading...