Kwako mpenzi wa E-Fm Radio

Kwako mpenzi wa E-Fm Radio

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
773
Reaction score
516
Habari wapenzi wa E-Fm Radio.

Siku zote nilizo kuwa nikiishi huko mikoani nimepata kusikia habari nyingi sana za hii radio station (EFM radio) hasa kwenye ushindani na radio station nyingine tena zenye coverage kubwa hapa Tz.

Sasa saa hizi niko hapa jijini Dar tangu jana nataka niijue vizuri hii radio kwa undani wake.

Hivyo basi kwa yeyote anaye jua code za hii radio hapa jijini Dar anipe hapa na mwenye kujua vipindi kuanzia J3 hadi J2 anipe hapa na watangazaji wake wote ikiwezekana, maana nasikia hata Mpoki yule wa Ze Comedy Show naye ni mtangazaji wa hiyo radio. Kwa jinsi navyompenda Mpoki sipatii picha kwenye hicho kipindi chake huwa kinakuwaje.

Naomba tujuzane ili tuongezeke na sisi wengine wa mikoani kwenye family hii ya EFM radio.

NAWASILISHA
 
E- fm 93.7 Mziki mnene.. Mziki unaongea.. Tunasepa na kijiji.. Station ya singeli
hivi hata hiyo kauli ya tunasepa na kijiji huwa wana maanisha nini? na ule msemo wao mwingine wa huu mchezo hauhitaji hasira huwa wana maana gani
 
93.7 habari ya town.. saa 06:00-09:00 asbh joto la asbh.. Gerard hando na Adela tillya
09:00-12:00 sports HQ ibrahim masoud..maurid kitenge..Oscar Oscar. .etc
12:00-15:00 uhondo na Dina marious.. swebbe santana.. 15:00-16:00 radha 3600 jabir saleh.. 16:00-19:00 ubaoni na emma kapanga.. bikira wa kisukuma na mpoki.. 19:00 -20:00 e-sport na omary katanga.. tunu hassan.. 20:00- genge na samio love....
Kuanzia j3 hadi ijumaa rtb kwa ufupi.. karibu mjini
 
aiseh umetisha
 
Umesharipoti kwa mh. Makonda? Maana alisema msije mjini!
nimekuja mjini kuchukua karatasi lenye page moja, lakini masharti ya hilo karatasi ni lazima nikamilishe 4years ndio nitapatiwa....ko sio anayekuja mjini lazima aripoti kwa makonda
 
nimekuja mjini kuchukua karatasi lenye page moja, lakini masharti ya hilo karatasi ni lazima nikamilishe 4years ndio nitapatiwa....ko sio anayekuja mjini lazima aripoti kwa makonda

kwani alisema anayekuja ku-graduate yuko exempt from the rule?
 
Ha ha ha! mtoa maada umenifurahisha sana yani umekuja na swali la kimtego la kiujanja ujanja wakati wewe ni kachero wa hiyo redio EFM yani umekuja hapa lengo ni kutaka kujua tu je member wa JF wanasikiliza EFM baaaaasi na uliowatega umewapata wakakutajia viipindi mpaka watangazaji........ Lol eti umeingia na gear ya wewe umetoka mkoani hivyo umeingia dar jana.... Ha ha ha kudadadeki walai haya bna endelea kuitangaza redio yenu humu ndani.
 
Mkuu usikose kipindi cha tunalea watoto wawenzetu kinaongozwa na sepenga nasikia ni noma sana hiko kipindi
 
nasubiri gari la soda lije lianguke hapa
"mkude simba"
Baada ya Gari LA mikate kuanguka mkude ni nomaaaaaa
1479832592904.png
1479832627487.png
 
Back
Top Bottom