Kwako mpendwa Catherine

Mkuu ulishindwa nini kuchua simu yake na kujitumia text kwenye simi yako? Hata yeye kakuona mzembe sana.
 
Hahaha... Hilo ndo kosa ulilofanya... Hakupigii ng'oo... Tena ukute kashakusahau
 
Jamani vibaya hivyo, ndio unamkatisha tamaa mwenzio hivyo? Usikute Catherine ni wewe
Wala... Namwambia ukweli tu... Yaani huyo Catherine kimpigia itakua muujiza... I can imgine wangapi nimewaambia ntawapigia ndo maana nasema hivyo
 
Reactions: SG8
Wala... Namwambia ukweli tu... Yaani huyo Catherine kimpigia itakua muujiza... I can imgine wangapi nimewaambia ntawapigia ndo maana nasema hivyo
Wanawake muwe mnatuhurumia wenzenu jamani hata kama wanaume tumeumbwa mateso
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…