Kwako mpendwa Catherine

Me ningemwambia namba nione simu yako,then nibgejitumia text..easy like that
 
Kijana utakuja kukosa vya thamani. Sio kila mtu anapenda mapenzi ya wazi kiasi hicho.
Huenda asikutafute kabisa, wewe unamtaja kabisa " Tatoo ya jina catherine na ni Dr bugando" . Hivi hata kama alitaka kukufanya kidumu ataweza? Mtoto wa kiume huna siri kabisa. Hapakuwa na umuhimu kutaja ofisi yake na tatoo yake!
SAHAU HATOKUTAFUTA LABDA AWE MALAYA
 
unawajua kakazao wanao wanafanya kiwanda cha amba mirinda
 
Umeona eh! Golden chance kama hizo hutakiwi kulemaa akili lazima uchacharike. One chance one goal


Hahahaaaaa!! Fursa kama hizo jiongeze kijana, anakutajia namba unakariri kichwani!! Imekula kwako 😂😂😂
 
Umejuaje ni mkeo Mkuu,?
By the way hakua na pete ya ndoa wala haonekani kama kaolewa
Siume taja tatoo aliyo jichora mkononi na aina ya gari analo limiliki ...halafu bado waniuliza nimejuaje kuwa ni mke wangu .... kutovaa pete haiwezi kuwa sababu ya kumfanya asiwe mke wangu ... tafadhali kuwa makini usije kunipa lawama
 
Hahaha hahaha
Wanaume mnavyomshambulia sasaa
 
Doc mwenye tattoo??[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]....mchezo usinchezeee weuweee
 
Kumpa mwanamke namba halafu unangoja kupigiwa.. ngumu sana
Next time mpe business card na kahela ka soda.
 
Mmekutana leo tu ushaanza kuchachawa hajakupigia! Mbaya zaidi unajua pa kumuona (kanisani) sasa papara za nini huku JF? Halafu siku ingine hata simu ikizima kuwa jasiri muombe simu yake uweke namba yako mwenyewe unaji-beep simu ikiwaka itaonesha 0712346789 KAKUPIGIA 25/12/1/2028 0915.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…