johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 821
- 868
Pamoja na maboresho unayofanya, kuinua halo ya utoaji huduma, kuna watu wanakukwamisha.
Nimechukuliwa vipimo tangu juzi lakini majibu naambiwa mpaka jumatatu!
Inawezekana vipi watumishi wa kada nyingine wapo lakini maabara wasiwepo?
Kumbuka pia gharama tunazotoa hazina tofauti sana binafsi na ikiwezekana mambo mawili yafanyike. Bandika namba zako au wakuu wa. Vitengo pia. Tutangaziwe kuwa mwisho wa wiki na sikukuu hakuna huduma ya vipimo