Kwako kipi ni kipimo cha kiongozi bora?

Kwako kipi ni kipimo cha kiongozi bora?

Braza haki ,imesimama yenyewe baada ya kupimwa kwenye mlinganganyo miwili ambayo hiyo milinganyo inahitaji watu wa haki pia , hivyo haki ikisimama kwenye misingi hiii haihitaji propaganda, na hiyo ipo wazi kama ya mbuzi bwashee.
Una mbichwa mgumu sana kuelewa wewe!..😂

Nimekuambia "Haki" ni neno pana na haki haiwezekani mtu akapewa kwa asilimia mia ni lazima iminywe ki mtindo kwani ukisema uumpe haki kila mtu aitayo utavuruga mambo maana kila mtu atadai haki kwa weledi wake, matamanio yake na hisia zake, so hata haki inahitaji muongozo na muongozo ndio hizo sheria.
 
Haki inayotolewa kwakubinywa hiyo sio haki, nipe mfano wa weledi wa kudai haki ya mtu ambao unavunja haki za binadamu kama zilivyo
 
ukisema watu wadai ama wapewe haki kwa asilimia mia moja maana yake hata anaetaka ajinyonge itabidi apewe hiyo haki anavyoitaka!. na mwengine nae atakuja na ombi lake na kwasababu zote hizo ni haki na wanastahili kupewa huoni mpaka hapo kunautata!, ukiruhusu leo watu wajinyonge unafikiri rasilimali watu utakuwanayo..?
haya wengine hawatajinyonga ila wengine waliomba haki ya kuua na ukawapa!, hivyo hata wakiua si kosa na ndio maana nakuambia haki haitakiwi kutolewa kwa asilimia mia moja ni lazima iwe balance na katiba ya nchi pamoja na sheria mbalimbali ndio inayobalance haki.
 
Tafauti na majibu ya kitabibu kuhusu afya ya mtu ya akili , hata mtu mwenye kuhitaji kufa anayo haki
 
"True leaders never seek leadership, they are too busy pursuing purpose. So when a person wants to be a leader, tries to be a leader, or pursues to be a leader that’s a very dangerous person. If you study a true leaders, most of them are reluctant leaders. They never wanted to be leaders. Circumstances drove them or a passion drove them or a conviction took over their lives. This is why true leaders never seek power. Matter of fact, some of them actually hate power. They love to empower, their desire is to make other people great, to free other people, to make other people prosperous. True leaders are completelly contradictory to those today we call leaders."

Nimeikopi kutoka kwa Dr. Myles Munroe
 
Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama kujuana!.

Hivyo binafsi nikawaza kipi ni kipimo cha kiongozi bora..?

Binafsi naweza kusema kiongozi bora ni yule anaeongoza watu kufikia malengo yao, huku akilinda nakuendeleza mazuri yaliyopo na yajayo, awe muwajibikaji,mstahimilivu na weledi wakuona mbele, maana kuwa kiongozi ni kuwa dira yakuona mbele!.

Sasa sijui kama hapa kwetu tunaangalia haya au tunachagua tu kama tunavyochambua maharage!. nafikiri kila mtu aelewe dhana ya uongozi na umuhimu wa kura yake kabla hajaamua tu kutia tiki baadae ikawa kizaizai!.

Naona kama vile watu wamepotoka hivi sasa!, wanapenda kusikiliza viongozi wakitoa umbea na vijembe wala si hoja za wapi tulipo, tunaenda wapi kivipi na kwanini...?

Nyakati za uchaguzi zimekuwa za watu kusema "twende tukapige hela!" huku ni sawa na kujichimbia shimo ukiamini ni kisima kumbe ni kaburi!.
Hatari sana, ila kama kuna jambo nimejifunza hivi sasa ni kwamba Kila kwenye point ya maumivu huwa kuna fulsa.

So, kiafrika afrika hasa kwenye nchi yangu ni ngumu sana kumpata kiongozi Bora kwasababu swala hili ni very subjective baina ya mwananchi wa chini wa kati na yule wa juu kiuwezo.

Ndio maana haijawahi kutokea hata mara moja vijana au wapiga kura wakawa na mtazamo mmoja juu ya kiongozi fulani.

Watu wa chini wanaamini kiongozi Bora ni yule ambae anatenda kwa haki lakini pia aliye na uwezo wa kuzisimamia lasirimali za nchi kiweledi na kusukuma gurudumu la maendeleo kiwazi zaidi.

Lakini watu wengi ambao wako na maisha ya kati na juu hawajali chochote kuhusu maendeleo ya jumla kama taifa ila wao wanachojali ni maendeleo yao binafsi, kwahiyo walio wengi huwa kwao kiongozi Bora ni yule ambae atawahakikishia usalama wa biashara zao na vyanzo vya ukwasi wao pasipo kujali kama ni biashara halila au si halali.

Sasa ukiangalia hapo utaona jinsi ilivyongumu kwasababu kiafrika uongozi huwa ni ngumu kupatikana kwa maamuzi ya sandukuni isipokua kuna watu hukaa mstari wa mbele ili kusaidia kiongozi aweze kupatikana, na katika watu hao hajawahi kuwepo mtu wa chini ila ni wale wa kati na wajuu zaidi ndio huwa wanasukuma hizi kete.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "ukiona mtu yeyote linapoongelewa swala la mabadiliko fulani fulani yeye akawa ni mpingaji mkubwa wa swala hilo jua huyo ameshiba au anashiba na mfumo uliopo kwahiyo anahofia mabadiliko yajayo yasije yakaharibu ule mfumo wa ushibaji wake kwahiyo anakua mtu wa kwanza kupinga kwa nguvu zote, ila mtu mwenye njaa hawezi kupinga swala la mabadiliko hasa ukishamwambia tukifanya haya mabadiliko wote tunaweza kuanza kushiba, atakubali haraka kwasababu hana cha kupoteza hata hayo mabadiliko yasipoleta matokeo ambayo yalikusudiwa".

Inshort katika nchi nyingi za kiafrika ule mfumo ambao ulikua unatumiwa na watawala wa kikoloni kutunyonya ndio ambao unatumika na watawala waliopo kutunyonya na hii yote ni kwasababu wanajua point ya maumivu ambayo watu wako nayo, kwahiyo hii kwao ni kama fulsa.

That's why swala hilo ni subjective kwa maana big papa wanajua aina ya kiongozi ambao wao wanamtaka so Kila muda unapofikia wanarudi kwa wengine kuwaaminisha huyu ndiye kwa kutumia ile point ya maumivu ambayo wako nayo na kundi kubwa la watu watasema huyu ndiye na wataunga mkono juhudi over and over again.
 
Jipigie makofi unaubongo unaofanya kazi vizuri....
 
Kwamba nimefikia akili kubwa kiasi hicho mpaka majibu yangu watu waite akili mnemba🤣🤣🤣🤣nacheka nakulia kwa wakati mmoja ,huku nikishushia na bia ya moto kabisa🤣
Ni vile umeamua kutumia akili mnemba sasa sijui ni kubwa au ndogo...🤣
 
Ni vile umeamua kutumia akili mnemba sasa sijui ni kubwa au ndogo..
Kaka huwa natumia kujifunza ,ila sio ni kopi kila kitu , binafsi akili yangu toka nikiwa mdogo sijaona wakuichalenji na hata ukienda kitaa nimekulia hawana jipya zaidi yakuniita snitch 🤣🤣🤣
 
Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama kujuana!.

Hivyo binafsi nikawaza kipi ni kipimo cha kiongozi bora..?

Binafsi naweza kusema kiongozi bora ni yule anaeongoza watu kufikia malengo yao, huku akilinda nakuendeleza mazuri yaliyopo na yajayo, awe muwajibikaji,mstahimilivu na weledi wakuona mbele, maana kuwa kiongozi ni kuwa dira yakuona mbele!.

Sasa sijui kama hapa kwetu tunaangalia haya au tunachagua tu kama tunavyochambua maharage!. nafikiri kila mtu aelewe dhana ya uongozi na umuhimu wa kura yake kabla hajaamua tu kutia tiki baadae ikawa kizaizai!.

Naona kama vile watu wamepotoka hivi sasa!, wanapenda kusikiliza viongozi wakitoa umbea na vijembe wala si hoja za wapi tulipo, tunaenda wapi kivipi na kwanini...?

Nyakati za uchaguzi zimekuwa za watu kusema "twende tukapige hela!" huku ni sawa na kujichimbia shimo ukiamini ni kisima kumbe ni kaburi!.
Gwajima

Back
Top Bottom