Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Simtetei mgombea yoyote wala sisemi Tenga hana kasoro yoyote au kilichosemwa si sahihi au la.Ila ukweli ni huu;Cheo kinachotafutwa kwa kununua waandishi na media houses zote,kuloby hadi Naibu Waziri,kutetewa na Kaka kwa kisingizio cha Uenyekiti wa BMT,kununua kwa hila viongozi wa Mikoa hakutatuletea RAIS MWADILIFU na ndio anguko letu litapoanza.Angalieni alikotoka huyo mnayemshabikia sana.
ndugu yangu Kiwete hivi unajua exactly nini kimekuwa kikiendelea toka mchakato wa uchaguzi uanze?
Last edited by a moderator: