Kwako John Pambalu

Kwako John Pambalu

Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu

Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha

Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
Hili bao lililokuzaa bora baba yako angepiga puchu bafuni
 
Kweli
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Ile barua uliyomuandikia kumuomba awe mme wako vipi ilimfikia
 
Back
Top Bottom