Kwako John Pambalu

Kwako John Pambalu

Nyerere angekuwa na mawazo ya kipumbavu kama wewe nchi hii isingepata uhuru 1961.

Kuna waliozaliwa kuwa mashujaa na kuna waliozaliwa kuwa waoga kama wewe.

JOHN PAMBALU ENDELEA NA MAPAMBANO,LENGO LILIKUWA KUWATISHA MRUDI NYUMA.

MKIRUDI NYUMA SHETANI KASHINDA,MKIENDELEA MUNGU KASHINDA,SHETANI HAJAWAHI MSHINDA MUNGU.

MSIOGOPE KIVULI MAANA KINAPITA TU NA MTAVUNA PAKUBWA KESHO.
Shetani anaingiaje katika hizi siasa za kiliberali ?!!!

Masuala ya kisiasa mnayaingizia SPIRITUAL?!!

Mbona hamquote vifungu vya dini kuwa "TUHESHIMU MAMLAKA ZA DUNIA"?!!!

Pambalu si NYERERE....

Uhuru ulishapatikana 1961.....

#KaziIendelee
 
Kwahiyo na Majaliwa Kasim Majaliwa hae aachane na siasa? au wengine wafanye siasa isipokua Pambalu tu? akiamua kufanya siasa upande wa ccm ndiyo utamshauri nini sasa.
 
Watanzania wa aina yako hawajui wanataka nini! We mkuu umebeba kichwa kama pambo. kwa ufupi upoupo tu.

huu ushauri uwafikie na nyie pia, hakuna any gained advantage utaipata kutoka kwenye siasa
 
Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu

Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha

Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
Shame on you
 
Umasikini ndio nguzo yao
Tajiri unaongelea sana kuhusu maskini Kila wakitoa hoja kinzani....

Sasa Kama ninyi ni matajiri wa Mali na fikra ,mnataka vipi kuwatumia hao maskini kuinuka dhidi ya Serikali yao ili muendelee kuwa matajiri kwa kupata vyeo ,madaraka na mamlaka?!!!

MAMLAKA MAKUBWA HAYAPATIKANI JUU YA MEZA

Mungu amlaze pema peponi Mama Asha Bakari ,amen!

#KaziIendelee
 
Sasa Pambalu anapigania UHURU GANI?!!

Sasa tajiri Mbowe anapigania UHURU GANI?!!!

Mdude Nyagali anapigania UHURU GANI ?!!!!

Mtoto wa Mbowe Rodney na wenzake wanakula

Shetani anaingiaje katika hizi siasa za kiliberali ?!!!

Masuala ya kisiasa mnayaingizia SPIRITUAL?!!

Mbona hamquote vifungu vya dini kuwa "TUHESHIMU MAMLAKA ZA DUNIA"?!!!

Pambalu si NYERERE....

Uhuru ulishapatikana 1961.....

#KaziIendelee
Mtawala mwenye matendo ya kishetani ni shetani.

Uhuru wa 1961 ulikuwa dhidi ya wageni, leo hii umeporwa na wenyeji na hakuna tena uhuru wa kisiasa wala katiba haufuatwi tena!

Ivyo basi,tunapambana kurudisha uhuru wa kweli upya kutoka kwenye kikundi cha waafrika wachache wenye roho za kishetani kurudi kwa waafrika walio wengi.

Umeelewa?
 
Akina Nyerere na Mandela wangekuwa wajinga kama wewe tusingepata uhuru
Pambalu si NYERERE.....

Tajiri mfanyabiashara Mbowe si NKURUMAH....

Hivi ninyi akili zenu zimejaa mafuta ya taa?!!!

#KaziIendelee
 
Kwani amezaliwa ale kupitia siasa tu ?!!!

Kama kula ni kupitia SIASA tu ,mh.Mbowe asingekuwa mwekezaji wa biashara huko DUBAI na UINGEREZA.....

AKILI KICHWANI MWAKE
Uanaharakati ni damu,Lisu hakuanza leo ni tangu primary,na keshawatetea wengi bure bila senti.Kila mtu na alichoitiwa duniani,sasa asipofanya siasa police si watakosa Kazi ya kufanya.
 
Uanaharakati ni damu,Lisu hakuanza leo ni tangu primary,na keshawatetea wengi bure bila senti.Kila mtu na alichoitiwa duniani,sasa asipofanya siasa police si watakosa Kazi ya kufanya.
Hawa waoga ndiyo mafukara tupu
 
Mtawala mwenye matendo ya kishetani ni shetani.

Uhuru wa 1961 ulikuwa dhidi ya wageni, leo hii umeporwa na wenyeji na hakuna tena uhuru wa kisiasa wala katiba haufuatwi tena!

Ivyo basi,tunapambana kurudisha uhuru wa kweli upya kutoka kwenye kikundi cha waafrika wachache wenye roho za kishetani kurudi kwa waafrika walio wengi.

Umeelewa?
Uko ndotoni....

Uhuru ulishapatikana na ndio maana Tanzania hayaonekani MATATIZO YA KIVU YA KASKAZINI na wale mazwazwa ADF NALU.....

Nchi ikishatulia Kama hii ilivyo basi wenye akili hatutaki IWE kama AFRIKA YA KUSINI ama DRC..

#PundaAfeNchiIbakiSalama
#AmaniKwanza
#KaziIendelee
 
Sasa Pambalu anapigania UHURU GANI?!!

Sasa tajiri Mbowe anapigania UHURU GANI?!!!

Mdude Nyagali anapigania UHURU GANI ?!!!!

Mtoto wa Mbowe Rodney na wenzake wanakula tu BATA....ninyi jitangulizeni katika MAANDAMANO......

#KaziIendelee
Mpumbavu usiye na aibu
 
Uanaharakati ni damu,Lisu hakuanza leo ni tangu primary,na keshawatetea wengi bure bila senti.Kila mtu na alichoitiwa duniani,sasa asipofanya siasa police si watakosa Kazi ya kufanya.
Siasa zina HARAKATI ndani yake....

Ila HARAKATI si siasa.....

Harakati za siasa zina kanuni mahsusi....

Mbowe ,Mdude ,Pambalu et Al wanafanya harakati zisizo kanuni za kisiasa.......

#KaziIendelee
 
Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu

Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha

Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
Wewe ni bonge la fala!!
 
Siasa zina HARAKATI ndani yake....

Ila HARAKATI si siasa.....

Harakati za siasa zina kanuni mahsusi....

Mbowe ,Mdude ,Pambalu et Al wanafanya harakati zisizo kanuni za kisiasa.......

#KaziIendelee
Lakini angalau wanaifanya ccm isilale maana bila upinzani ccm ingelala pono.
 
Back
Top Bottom