Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
🤣🤣Nimeshaachana naye ,yeye Yuko RUMANDE ,mimi nyuma ya KEYBOARD home kwangu nikimuombea baraka ,afya na nguvu mh.Rais SSH ,amen!Achana na Pambalu kula ubwabwa kibwengu ww
#KaziIendelee
🤣🤣Nimeshaachana naye ,yeye Yuko RUMANDE ,mimi nyuma ya KEYBOARD home kwangu nikimuombea baraka ,afya na nguvu mh.Rais SSH ,amen!Achana na Pambalu kula ubwabwa kibwengu ww
Saaana, pisi Kali kinomaaa ila Sina picha yake mkuuAna mke mzuri?
Ile ilikuwa zamani mkuuKwani anavunja Sheria na katiba? Nyerere angekuwa na mawazo ya kiutopolo hivi tungechelewa Sana kupata uhuru
Martin Luther King Jr alisema kama aujui utachofia aupaswi kuishi john pambalu ataifia siasa ni sehemu ya maisha yake wewe kwa uoga wako unaona kama anateseka sana yeye wala yupo imara zaidiSalam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha
Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
Nimeo hii tweet nimecheka sana. Hapo mwisho eti"Mtoto alilia sana". Sasa wanataka watu waandamane kwakua mtoto alilia sana kwa upumbavu wa baba yake?Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha
Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
[emoji849][emoji849]ya kweli hayo?!Tangu awadhurumu waangalizi wake kwenye ule uchaguzi,huyu dogo huwa namuona boya tu.
Mbona ana elimu nzuri anaweza kujiari au kuajirirwaaAkiacha siasa atakula nn sasa, mwanasiasa gani anaogopa jela
Kuhusu biashara sijuiNaomba kujua huyu mwamba Ana Kaya ngap na anabiashara gan zakumuingizia kipata?
We tajiri?!Umasikini ndio nguzo yao
[emoji106][emoji106][emoji106]Kwani amezaliwa ale kupitia siasa tu ?!!!
Kama kula ni kupitia SIASA tu ,mh.Mbowe asingekuwa mwekezaji wa biashara huko DUBAI na UINGEREZA.....
AKILI KICHWANI MWAKE
Wanaoumia Ni familia yakeeRafiki yangu Saidi Ngenda Yuko kwao Tandale....akiwa na umri mdogo alikutana na KISANGA cha NGANGALI NA NGUNGULI....
Leo hii ni MLEMAVU wa miguu ,yuko katika kiti cha MAGURUDUMU 3....
#KaziIendelee
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]Nimeshaachana naye ,yeye Yuko RUMANDE ,mimi nyuma ya KEYBOARD home kwangu nikimuombea baraka ,afya na nguvu mh.Rais SSH ,amen!
#KaziIendelee
We kweli ki...mba km jina lako tu lione kwanzaWewe aliyekutuma kuoa mwanamke mbaya ninani?umeazima kichwa au
Kuajiriwa ni utashi, kujiajiri ni kipajiMbona ana elimu nzuri anaweza kujiari au kuajirirwaa
Unajua duara la maisha yako ni miaka 20-30 ijayo. Ni awamu 3 tu za serikali.Salam nyingi Sana zikufikie huko uliko iwe dar. Mwanza au lupango Mimi Niko POA hofu na mashaka Ni juu yako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la barua hii Ni kukuomba uachane na siasa kwani zitakupotezea muda tu
Angalia maisha yako mengine, una mke mzuri hebu tulia nae mjenge familia iliyo Bora wazazi wako na ndugu zako chirstina na wenzie wanakupenda Sana hawatopenda kuona ukikimbizana na dola kila kukicha
Angalia yaliyowapata wenzio waliokutangulia kaa chini fikilia kwa makini Kisha utapata jibu
Lifanyie kazi Hilo
Wasalaaam
🤣[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]