Sizani Kama diamond ataki kuwahudumia hao watoto Kama kawanunulia nyumba kabisa south atashindwaje kulewa tatizo hapo Ni zari kutengeneza mahusiano mazuri na diamond uwezi kumtukana muda mwingi kwenye Instagram yako mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, watoto wake unawapeleka kanisani wakati baba Ni muislamu, umeblock mzazi mwenzako alafu huyo huyo unataka atusaidie, umeshindwa kuwaruhusu hata siku moja watoto kuja dar kumuona baba yao huo msaada utatoka wapi mbona hamisa mobetto anawaruhusu watoto kumuona baba yao kwanini zari Hilo linamshinda? Na hamisa mobetto amesema baba yao anahudumia.