Kwako Dada Naijusaki Lekangai: Maneno Mawili Matatu Kutoka Kwangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Dada Naijusaki Lekangai: Maneno Mawili Matatu Kutoka Kwangu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SHIEKA, Aug 24, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Dada Nai, Hujambo? Tangu ujiunge JF nimekuwa nikikusoma sana mpaka nikakuelewa, nikakufahamu kisha nikakuona. Maandishi yako yanaeleza mengi sana juu yako: tabia, mtazamo, na falsafa yako ya maisha. Usichukie dada yangu utakaposoma haya ntakayoandika ila ntakuomba uyazingatie na kuyafanyia kazi upate kuishi kwa furaha zaidi.

  Ninavyokuona wewe ni mtu mwenye majivuno na usiyependa watu, hasa wanaume.Nianze na signature yako. Wasema eti wewe ni mchanganyiko wa Mwarusha na Mchaga halafu eti hata kiarusha wala kichaga hufahamu. Tena unaelekea kujivuna kwamba huzijui hizi lugha za wazazi wako. Nakushangaa dear wangu. Ulikulia wapi ukashindwa kufahamu moja ya lugha ya wazazi wako? Mimi kwa mfano, baba yangu ni mtu wa thailand na mama anatoka sehemu inaitwa Kwa Maangulwa huko Mkuu Rombo, na kirombo nakiteremsha vya kutosha. Iweje wewe ukashindwa kumudu moja ya lugha za wazazi wako?

  Ulikuja na thread moja kwamba wanaume wanakusumbua, kwamba ulichukizwa na boyfriend mlevi ukaachana naye, ukampata Mdenishi ukamwacha eti alikuomba kitu ambacho hukupenda kumpa halafu sasa unaye mwingine anayeku'chafua' mkiwa faragha! Yote haya ni dalili ya maringo na majivuno yakoyaliyopitiliza kiasi chake. Kama hawa wanaume walikuwa na mapungufu yao, wewe je umekamilika? Usitafute malaika hapa duniani,hawapo! Kuna mchangiaji mmoja mwanamke alikupa ukweli kwamba hayo majimaji yaliokudondokean mwilini ukayaita uchafu, wanawake wenzio wanakunywa na kuogea kwa sababu wanayaita 'juisi ya mapenzi (love juice) na kuna thread moja inaeleza juu ya utafiti uliofanywa kuhusu faida ya shahawa kwenye mwili wa mwanamke. Badilika dada yangu, shahawa zinatafutwa kwa udi na uvumba!

  Halafu ukaja na thread ya 'Faulty Assumptions.........' Thread hii imejaa chuki ulizonazo kwa wanaume, ila ukazifunika kiujanjaujanja tusikushtukie. Yaani unataka kutuaminisha kwamba mwanamke akimwambia mwanaume 'Hapana, sitaki urafiki na wewe' basi mwanaume akunje mkia na kwenda zake? Haiwezekani iwapo huyo mwanaume anampenda sana. Wewe sasa hivi ni mtu mzima.Hebu fikiria siku ile Mzee Lekangai alipokutana na mama yako. Kulikuwepo na hapana nyingi sana kutoka kwa mama lakini kijana Lekangai akajitutumua kiume na mwishowe ukazaliwa! Lekangai angeishia zake baada ya kuambiwa 'Hapana' wallahi tusingepata bahati ya kumwona mtu kama wewe hapa JF.

  Juu ya Orientation ya JF nakuunga mkono. Upo huo uhitaji wa kufahamishwa mambo na maujanja ya JF. Lakini kama wewe ni computer literate (which I hope you are) tumia ile kanuni ya kitaalamu ya 'trial and error'. Nimeona kwa mfano umesumbuka kukopy and paste thread za watu wakati wa kujibu. Hayo ni majasho ya bure! Kila ukurasa, chini upande wa kulia kuna maneno: Reply with Quote. Bofya hapo na usumbufu wa kopy n paste utaisha. Na pia umeshaambiwa PM siyo Prime Minister ila ni Private Message yaani kuwasiliana kwa faragha.Hii utaiweza sana mana kama uliweza kuweka signature na avatar, PM haitakushinda.

  Kama shida ni kubwa kwa mfano ni malalamiko au chochote kuhusu JF wasiliana na wawezeshaji wa humu JF wanaoitwa Moderators au kwa kifupi Mods. Unawafahamu? List yao ni hii: 1. Invisible 2 Buchanan 3. Paw 4. Fang 5. Cookie 6 Silencer 7. Mike McKee na kuna mama mmoja kipenzi cha wengi na gwiji wa Kifaransa anaitwa Roulette.

  Mwisho, ukitaka kumjulisha mtu kwamba umemtaja mahali tumia alama @ kabla ya username yake. Ukifanya hivyo username inakuwa bluu. Hapo juu nimewajulisha mods kwamba nimewataja.

  Haya asante. Kabla sijasahau: Shemeji yetu Mdenish yuko wapi? Usimwogope bwana!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Epphhuuuuu!!! (...nashusha pumzi...)
  True a 'hundred Percent HYGEIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  asante kwa hii elimu,
  najaribu kuona kama jina litatokea la bluu.
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  napita tu...ntarudi mama yeyoo akija kujibu hoja....
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nnalo ?
  Sina !
   
 6. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ataweza kujibu sawasawa Scofied. Sanasana atajifaragua tu na kulalamika.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli hili ndio msondo ngoma! Mambo hadharani ukiweza meza ukishindwa tema ili message sent! duh.
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  HYGEIA mzima wewe??? twins hawajambo na mum wao je?? aleweshwe hata kwa kilugha!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Truth it pains they say, but it must be told.
   
 10. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  "Truth is painful" they say, but it must be told. OVA
   
 11. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,345
  Likes Received: 1,323
  Trophy Points: 280
  Kaka Hygeia mie sijambo. Yaani umeamua kunisuta namnahiyo? Lau ungeniona ukazungumza nami ungeona mimi ni mtu tofauti sana na huyo unayemfahamu kwenye maandishi yangu. Kama wewe ulibahatika kufahamu kilugha cha mmoja wa wazazi wako usifikiri watu wote wana bahati hiyo. Kwa kifupi nikupe historia yangu.

  Baba yangu alipokuwa akifanya kazi Tabora alikutana na dada mmoja wa Kibosho mfanya biashara soko la Tabora. Ninavyoambiwa ni kwamba dada huyu(ambaye ndo mama yangu) alipata ujauzito na alipomjulisha mhusika (baba) mhusika alimwambia mjamzito ahamie kwake awe mke wa pili.(baba alipokuwa Tabora aliishi na mamammoja Mnyamwezi lakini hawakujaliwa watoto) Mama yangu alipinga wazo hilo akaishi kivyake akiwa mjamzito. Baba lakini alikuwa akimtunza. Alipojifungua mtoto wa kike (mimi) baba alisubiri mpaka nilipotimiza umri wa miaka mitatu akanichukua. Nikaanza maisha mapya kwenye nyumba ya baba na mke wake Mnyamwezi. Huyu mama alinipenda sana kama mwanaye na nilipofikisha umri wa kwenda shule nilipelekwa shule ya msingi Isike mjini Tabora.

  Lugha niliyokuwa natumia mpaka naenda shule ni kiswahili tu na mara chache sana Kinyamwezi wanapokuja ndugu zake na mamamlezi. Siku moja moja nilienda kumsalimia mama mzazi na huko nilimsikia mama akizungumza na wafanyabiashara wenzake wa Kibosho.Mazungumzo hayo hayakuniwezesha kukamata lugha ya mama. Kwa hiyo mpaka namaliza elimu ya msingi lugha niliyoambulia ni kiswahili tu. Unaona kaka Hygeia, usinilaumu sana na kusema eti spendi watu kwa kutofahamu Kiarusha au Kikibosho. Wewe inaelekea mama yako alikuchukua mkaenda ishi Rombo na huko ukamudu kuzungumza Kiorombo.

  Kuhusu wanaume, siyo kwamba nawachukia ila tabia zao kama vile ulevi, uvutaji sigara, umalaya, vinaniudhi sana. Usiombe mvuta sigara akakubusu! Lazima utapike!Ndiyo hayo yanayonishinda si wanaume. Mdenishi achana naye! Yaani kakangu mpendwa wataka nimkubalie ushenzi wake? Hapa nasema NO tena kwa herufi kubwa! Huyu mwingine wa uchafu...... ..tafadhali sitaki kukumbuka! Ipo siku alilowanisha tumbo langu lote na uji wake mzito. Kuna wanaokunywa? Kama kuna wanawake wanaokunywa hiyo kitu hata choo watakula. Ndiyo! Kama mwanamke aweza kunywa hiyo kitu ya mwanaume atashindwaje kubugia choo chake? Kusema kweli kaka hygeia mambo wafanyayo wanawake wenzangu ni ukichaa mtupu si mapenzi wala nini.

  Nashukuru kunielezea namna ya kureply with quote. Hata kwenye hii reply nimeitumia. Asante pia juu ya matumizi ya alama @
  Hebu nifanye mazoezi ya kukujulisha nimejibu mada yako. Hallo HYGEIA njoo chitchat ninajibu hoja yako.

  Kiumbe hata humu kuna viranja! Asante kwa kunijulisha nisije nikapiga makelele sana wakanipa adhabu!

  Kaka hygeia wanasema kiorombo ni kigumu sana. Ni kweli? Nifundishe kidogo nina boyfriend anatoka tarakea nataka nimsurprise na kiorombo. Mwisho kabisa jina langu ni Naisujaki siyo Naijusaki
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  khaaaaaa mambo haya si ungemwambia kwenye PM aka prime minister? Mpaka muanikane huku lohhhhhhhhhh
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mke mwenzangu upo?? mi luv u mingi mingi!
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  HYGEIA kuna watu ni wagumu/dhaifu sana upande wa Lugha maybe she is one of them, but hata mimi huwa nachefuka na watu wanaojifanya they no nothing about their origin. ambapo ni ujinga so long as you are living(grown up) in Bongo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  platozoom kumbe we ni headboy wa jamvi,sasa siku ileeeeeeeeeeeee uliyopiga tingas fresh kikazi ilikuwaje mkuu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Shem cacico, mie nipo poa. Mapacha aisee ni full usumbufu. Wanacheza football basketball na golf na cricket. Hayo magongo yanavyommwumiza mama yao sasa! Kachoka ile mbaya. Anatamani sana kuja hapa cc lakini namwambia apumzike asijisumbue
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Halo BADILI TABIA. Hujambo? Yeye aliyatoa hadharani kwa nini ajibiwe privately kwa PM? Halafu usipate shida, hakuna element ya kuanikana hapa. Ni ukweli kwa ukweli vinatembea tu. Ugali ukiwekwa mezani mboga nayo huletwa mezani si kuificha chumbani!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,138
  Likes Received: 947
  Trophy Points: 280
  Hallo Elia, naona mhusika kajitokeza kujieleza. Namwonea huruma sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dada Naisujaki Lekangai takwenya. Naomba niwe wa kwanza kukufundisha angalau lugha mojawapo ya asili yako. Takwenya ni salamu inayotumiwa na wanaume kusalimu wanawake. Mwanamke anatakiwa kujibu iiko.
  Kujifunza lugha itaegemea pia na utayari wako wa kutaka kujifunza. Karibu sana nipo tayari kukufunza angalau maneno mawili matatu ya kuombea maji
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa siku sote tunafurahi na kutabasamu juu!
   
Loading...