kwaito and Sweeet Reggae music

1. Colombia
2. Ikati
3. Izindunduma
4. Let him go
5. Kazzet
6. Stimela
7. Sweet mum
8. Umagubane
9. Any time
10. Ouagadougou

una lingine?
lingine ni kuwa hayo ni majina ya nyimbo au wasanii?vp kama ukiweka yote ya msanii na jina la wimbo
thanx in advance
 
thanx mkuu,hizo collection za riddim zinapatikana bongo?kama zpo ni sehemu gani?
 
Tuwekeeni website ya kuzipakua (download) sio mmekalia tu kuzitaja
 
lingine ni kuwa hayo ni majina ya nyimbo au wasanii?vp kama ukiweka yote ya msanii na jina la wimbo
thanx in advance

Siku nyingine ukiandika thread eleza unataka majina ya waimbaji na nyimbo zao.
Sasa kama wewe ulitaka nyimbo basi ndo hizo...

Una lingine?
 
damian marley-affairs of heart!..ingawa sio klub banger ila ni ngoma kali sana...kabla sijalala huwa naiskiliza kumkumbuka mpenzi wangu aliye mbali nami!
 
thanx mkuu,hizo collection za riddim zinapatikana bongo?kama zpo ni sehemu gani?
Nitafute nipo maeneo ya posta Dsm, uwe na Flash kubwa ntakupa hata ukitaka GB 20 zipo zimejaa!
 
so sad you living in darkness,while your the light!
ur searching for a friend, r u a friend of urself?...thats tarrus riley-who's responsible-city life riddim
 
Nitafute nipo maeneo ya posta Dsm, uwe na Flash kubwa ntakupa hata ukitaka GB 20 zipo zimejaa!

duuh kwa sasa sipo Dsm ila natumai muda c mrefu ntakua huko so contact if u dont mind
 
damian marley-affairs of heart!..ingawa sio klub banger ila ni ngoma kali sana...kabla sijalala huwa naiskiliza kumkumbuka mpenzi wangu aliye mbali nami!

hahaaa nitaitafuta mkuu
 
Mkuu Gwandumi nimeidownload hilo song la Damian Marley-affairs of the heart,hakika ni bonge la wimbo,Rhanx mkuu
 
set up shop naipenda zaidi video yake..inspiring song kuhusu ujasiliamali!

mkuu Gwabdumu heshima sana kwani kwa msaada wako nimeapta nyimbo nyingi sana nzuri,kama zipo na nyingine usisite kunidondoshea niendelee kuimarisha library yangu.
 
Aisee naipenda energy ya Wyre anapush to the limit..kashapiga collabo international za kutosha na morgan heritage, na cecile na sasa hii hapa na Allen
Wyre ft. Allen-nakupenda pia!....Ngoma tamu sana especially kwa club
..igoogle tu uenjoy!
naweza nikasema wyre ni mmoja wa wasanii wa east africa ambae anafanya muziki mzuri na anajuhudi sana katika muziki wake!..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…