Mzee wetu alipokula pension akapotea home, then mwisho wa siku akawa anaonekana bar anajiita ndogo janjaπIt's Friday it's okayView attachment 3095213
ππππ acha kuhonga ila sio pombe.Minaona....
Shida sio kuacha pombe...π€¨
Shida ni.....
Hiyo pombe tunamuachia nani...π€
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwa level uliyofikia unahisi kama ukiacha TBL itafilisika na watumishi watachelewa kupata mishahara.
Changia pato la Taifa.
AiseeeeAloooo....
Naongea na nani...??
Unamsaidia au unapenyeza rupia?, acha janja janja wewe.Siku ukija kupata hela, utakua unawasaidia alafu wao wataenda kujitapa kwamba unajua kuhonga..π€£
MuhudumuMinaona....
Shida sio kuacha pombe...π€¨
Shida ni.....
Hiyo pombe tunamuachia nani...π€
Upo sahihi bandeko baelezee baambie baelewe ππMinaona....
Shida sio kuacha pombe...π€¨
Shida ni.....
Hiyo pombe tunamuachia nani...π€
Nimeacha pombe miaka kadhaa sasa, na sitegemei kurudia. Ila hii point umeandika imenifikirsha sana. Kuacha pombe nahisi si kitendo cha kizalendoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£kumbuka barmaid ana familia ...
View attachment 3095174