Kwahili nipewe tuzo ya uvumilivu

Kwahili nipewe tuzo ya uvumilivu

KAMA UNA WATOTO WAPO CHUO KIKUU BASI UMRI WAKO PIA UNAONYESHA MUNKARI,MZUKA,AKSHI,HISIA PIA ZIMESHAANZA KUPUNGUA
 
Moja ya mambo ambayo wazee wengi wa miji wameshindwa kujizuia ni hili swala la kuwatafuna mahouse girl. Mpaka sasa hivi nimeweza kwani mke wangu yupo masomoni nje ya mkoa niliopo na kwa muda mrefu nilikuwa nakaa na watoto wangu wanne ambao kwa bahati nzuri wawili wameshajiunga na chuo na wawili wapo boarding (sekondari) hivi ninavyosema nimebaki na dada wa nyumbani ambaye mwezi huu wa pili mwishoni atatimiza mika ishirini na moja. Kimsingi ni mtoto mwenye heshima na mrembo. Pamoja na uhitaji mkubwa wa kupata papuchi kwani mke wangu mpenda yupo masomoni ila kwa kiasi kikubwa nimeshinda hili jaribu la kukaa na dada (house girl) kwenye nyumba moja peke yetu bila kumbugudhi naamini kwa hili nastahili kupewa tuzo.

hahaha unasifu mamba kabla hujavuka mto 🙂
 
Acha kujisifia ujinga tena una sema una wtt wako vyuo. Sasa kwani si ni kama binti yako tuu au ndo mmesikia kutembea na wadada wa kazi ni sifa??
 
We jivunge tu, mkeo watu wanakula daily huko masomoni
 
huyo house girl ana sura mbovu, iv kama house girl wako angekuwa mobeto, sepenga, Irene uwoya, zari ama tanasha kweli ungewabakiza, me naamin huyo beki3 ana sura personal ndo maana dushe halimtaki..!![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani dada wa kazi ninayemzungumzia kimsingi ni mzuri, nilipomchukua alikuwa na umri wa miaka 17 sasa ndio anakaribia miaka 21 nimeishi naye kwa muda wa miaka 5 hivyo n ila nimeapa sitajaribu pamoja na ukweli kuwa inahitajika juhudi kubwa kuamua maamuzi haya maana kama jana hiyo tight aliyovaa na jinsi matiti yalivyosimama kwa mtu mhunimhuni asingeweza kuvumilia ila kamwe sitafanya chochote japo tamaa ingetaka nifanye hivyo, mimi nitaendelea kujilinda na tamaa mbaya. Nitalinda heshima yangu kama baba.
 
Moja ya mambo ambayo wazee wengi wa miji wameshindwa kujizuia ni hili swala la kuwatafuna mahouse girl. Mpaka sasa hivi nimeweza kwani mke wangu yupo masomoni nje ya mkoa niliopo na kwa muda mrefu nilikuwa nakaa na watoto wangu wanne ambao kwa bahati nzuri wawili wameshajiunga na chuo na wawili wapo boarding (sekondari) hivi ninavyosema nimebaki na dada wa nyumbani ambaye mwezi huu wa pili mwishoni atatimiza mika ishirini na moja. Kimsingi ni mtoto mwenye heshima na mrembo. Pamoja na uhitaji mkubwa wa kupata papuchi kwani mke wangu mpenda yupo masomoni ila kwa kiasi kikubwa nimeshinda hili jaribu la kukaa na dada (house girl) kwenye nyumba moja peke yetu bila kumbugudhi naamini kwa hili nastahili kupewa tuzo.
Ata zikikubana bora utoke nje lakn si dada nyumban utaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom