Kwahili ningeshajiuzulu siku nyingi

Kwahili ningeshajiuzulu siku nyingi

j kisumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
289
Reaction score
236
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla ...ingekua Mimi ningeshaandika barua ya kujiuzulu mapema sana ili kupisha wasio na kashfa waongoze.
 
Kwani tangu aanze kazi mpaka sasahivi si anayo miradi kibao ya kujiendeleza kwann aendelee kukalia kiti ambacho anakidhalilisha?
 
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla ...ingekua Mimi ningeshaandika barua ya kujiuzulu mapema sana ili kupisha wasio na kashfa waongoze.
Umekwisha sema ungekuwa wewe. Yeye siyo wewe, na wala siye huyo unayetaka ajiuzuru.

Usiishi kwa dhana na kufikirika, utajipandisha 'pressure' bure. Angalia maisha yako na ya familia
 
Viongozi wa Kiafrika wapo tayari kuua watu ili waendelee kutawala wewe unazungumzia kujiuzuru!! !!!

Sahau hilo kwa hizi ngozi nyeusi.
 
Bashite kashaota mkia na hio sapoti anayopewa na mkulu ndo kwanza anavimba kichwa, hawez kuachia nafasi ukizingatia ni mtu wa kupenda sifa sana...
So pambana tu na hali yako mkuu j kisumu,
 
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla ...ingekua Mimi ningeshaandika barua ya kujiuzulu mapema sana ili kupisha wasio na kashfa waongoze.

Atajiuzuru July 2020 wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu zitakapoanza tena na kwa sasa nikushauri tu Mkuu kuwa jikite katika kufanya Kazi na kuwatafutia Unga na Vitafunwa Wanao ili njia yao ya kwenda Chooni isiote nyasi na haya ya Kisiasa achana nayo kwani hutayaweza.
 
Jamaa amewaokoa watu wengi bana, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengine wengi, alafu kumbe si watumishi wa umma!!!!! Tanzania nchi yangu umemkosea nini muumba????
 
Hivi uwepo wa makonda kama mkuu wa kamkoa kamoja tz kati ya 30 una impact gani kiuchumi
 
Jamaa amewaokoa watu wengi bana, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengine wengi, alafu kumbe si watumishi wa umma!!!!! Tanzania nchi yangu umemkosea nini muumba????
Hili linchi bhana... Ivi kwani mtumishi wa umma ni nani... Ah mi nshachoka kabisa
 
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla ...ingekua Mimi ningeshaandika barua ya kujiuzulu mapema sana ili kupisha wasio na kashfa waongoze.
Ur lucky to have such an understanding. Yeye yuko a mile ahead of you. Keshamkamata mtu hang'oki. Ninachomsikitikia nacho baada ya huyu atafanya nini? He is too young to manage life without authority and security
 
Tumeshindwa kutofautisha kati ya watumishi na watawala.

Watumishi ni wataalamu/Elimu kwanza.

Watawala ni yeyote yule ambaye ana ni raia anayejua kusoma na kuandika.

Kazi ya wataalamu ni kushauri na kuwaachia watawala kuamua na zaidi ya hapo ni kuimplement kile kilichoamuliwa na watawala.

Mtumishi anaajiliwa na mtawala,ilihali mtawala anachaguliwa na watu au kuteuliwa na mtawala.

Mtawala anachaguliwa na watu wote wanaojua na wasiojua kusoma na kuandika ili awaajili wataalamu/watumishi wenye weredi ili watekeleze mile ambacho wananchi wameahidiwa.

Kuwabagua wanaojua kusoma na kuandika katika utawala ni sawa na kuwagandamiza wapiga kura wanaojua kusoma na kuandika kushiriki katika utawala.

Kwa muktada huo,mtawala sio lazima awe na weredi,kinachotakiwa ni namna gani anavyowasilisha kile alichoagizwa kufanya na wapiga kura/waliomteua ili kifanziwe kazi na watumishi/wataalamu wenye weredi.
 
Hao waliofukuzwa atawalisha nani? Hili suala la huyu jamaa sio la kutetea hata kidogo, nadhani siku utakapofahamu mtumishi wa umma ni nani ndipo akili itakaa sawa mkuu!
Sawa mkuu labda wamekuwa mbuzi wa kafara
 
Ungejiuzuru sababu una elimu sasa Bashite hana hiyo elimu ya kuwaza
 
Back
Top Bottom