Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
Naona Kuna watu wanabishana nae Sana kwenye ule uzi' lakini hata hivyo anajitahidi kuwaelewesha!! Ila yupo sahihi Sana kwa Hilo.Hata nami nilikubaliana naye. Badala ya kufurahi na kujitangaza ni bora waende kufanyiwa naombi. Kama nguvu ni za giza basi itajidhihurisha na kama nguvu za Roho Mtakatifu itajulikana pia. Shetani hakupi bila kuchukua kikubwa zaidi maana kazi yake ni ku kill, steal and destroy. Lkn kama ni kutoka kwa Mungu basi itakuwa ni kwa nanufaa yake, familia, nchi na dunia nzima kwa sifa na utukufu wa Mungu.
Mimi nakubaliana kabisa juu ya hilo'' na ndio maana nimemtolea mfano.Kwanza wote kwa pamoja mleta mada na faiza fox tukubaliane kuwa sheikh sharif nayeye alikuwa anaongozwa na majini kama ilivyo kwa huyu dogo.ndipo tuendelee na mjadala.
Maana anaweza kuja kukataa hapa huyu mama.maana si unajua huyu ni sheick?
wiki 2 zilizopita kuna mtoto alizaliwa huku morogoro maeneo ya turiani akaanza kuongea akisema kuna mvua kubwa itanyesha siku ya jumatatu na jumanne.na watu wasichote maji yake wala kuyatumia watakufa kisha yule mtoto akafa.matokeo yake mvua ikanyesha jumatano na hakuna aliyekufaMimi nakubaliana kabisa juu ya hilo'' na ndio maana nimemtolea mfano.
Umeelewa kinachozungumziwa lakini?haya huyo mtoto kagundua nini? Kuna mzungu alizaliwa akijua kuandika bila kufundishwa namna ya kuandika? Tusingekuwa na maswali kama angekuwa anafanya mambo ya kutengeneza vitu Fulani bila kufundishwa ILA hili la kusolve equation bila kufundishwa hata formula zake sio kipaji hicho kuna jambo.Waafrika sisi kweli hovyo kabisa ngoja agundue mzungu mwafrika karoga na anatakiwa kuombewa jamani hadi huruma kama ndo kila kitu mnawaza uchawi bas tumekwisha
Yesu sio Nabii Issa. Issa never existedYESU au Nabii ISSA mwenyewe alizaliwa kama mtu WA kawaida kabisa ila matendo yake ndio yaliyowafanya watu waamini kuwa huyu mtu sio WA kawaida.
Sijaipata hii ilikuwaje?wiki 2 zilizopita kuna mtoto alizaliwa huku morogoro maeneo ya turiani akaanza kuongea akisema kuna mvua kubwa itanyesha siku ya jumatatu na jumanne.na watu wasichote maji yake wala kuyatumia watakufa kisha yule mtoto akafa.matokeo yake mvua ikanyesha jumatano na hakuna aliyekufa
Sawa! ......Yesu sio Nabii Issa. Issa never existed
ACHA UONGO WEYE
Hata nami nilikubaliana naye. Badala ya kufurahi na kujitangaza ni bora waende kufanyiwa naombi. Kama nguvu ni za giza basi itajidhihurisha na kama nguvu za Roho Mtakatifu itajulikana pia. Shetani hakupi bila kuchukua kikubwa zaidi maana kazi yake ni ku kill, steal and destroy. Lkn kama ni kutoka kwa Mungu basi itakuwa ni kwa nanufaa yake, familia, nchi na dunia nzima kwa sifa na utukufu wa Mungu.