Ngida wanasema hasira hasara..inabidi ushikamane kwa nguvu zote ku fight huo ufisadi...kama una nia nzuri na nchi yako then fight for it kama mpiganaji halisi..angalia mifano ya wapiganaji waliopita kwenye nchi nyingine....acha kuwa lelemama....inabidi uwe ngangali....simama imara kwa nchi yako na utakuja kufurahuia matunda yake....ila usife moyo bado
Dear Ndugu: Ganesh, Lampart, Kichuguu, Mndundu, Gudboy, Bubu Ataka Kusema, Mzee Mwanakijiji, Buchanan, Firstlady1, Nguli, Ziondaughter, Bluray, MTM, Josh Michael, Mtoto, Chrispin, Geoff, eRRy84, Omumura, Kweli, Ngambo Ngali, Kobe, Son of Alaska, Kidatu, MzeePunch, Ndahani, Tripo9, Nicko, Mchili, ChaMtuMavi, Maane, kelly01, Dark City, Sugar wa Ukweli, BabaJ, Sonara, Sipo, Mchukia Fisadi, Richard pamoja na wote mlioniletea PMs,
Samahanini sana kwa kimya changu, kwani nilikuwa ninazitilia maanani zile advices mlizonipa kwenye comments zenu. Nimesoma kila comment zaidi ya mara 3.
Nimefarajika sana na msgs zenu. Nimeshindwa kumjibu kila mmoja wenu kwasababu msgs zilikuwa ni nyingi. Nimepokea comments 44 pamoja na private emails 67. Kwa kweli sikutegemea hata kidogo kama mtakuwa-touched na ule ujumbe wangu kama mlivyoonesha. Pia, ule ujumbe wangu ulisomwa na wana_Forum zaidi ya 818 mpaka wakati huu ninapokuandikieni huu ujumbe.
Ninakushukuruni nyote sana sana for your comments and advices, kuanzia Bubu Ataka Kusema ambae ilibidi sio atake kusema tu bali safari hii alisema kabisa na nyote wengine..
Nd. eRRY84, beats zako zilikuwa nzuri sana na ndizo zinazonifanya niishi mpaka leo. The beats make me feel like crying with deep emotions!
Firstlady1 na Sugar Wa Kweli, sijui kama ndio nyinyi wamoja au vipi, lakini ninakushukuruni pia for being so touched!
Kwa ujumla, ninakushukuruni nyote kwa advices zenu.
Kabla sijachukua uamuzi wangu wa mwisho kutokana na ushauri wenu mlionipa, ninaona bora kwanza nilipe kodi ya chumba ninachokaa ili huko mbele nisije kuelezwa kuwa nimehama nyumba bila ya kulipa kodi.
Kwahivyo, landlord wangu Nd. Maxence Melo Mubyazi, ninakuomba at any time baada ya kuisoma hii msg uende any branch ya Western Union hapa DSM kuchukua kodi ya chumba ninachokaa ya Dollar 110 (equivalent to TShs 150,824.80). Kama utapata matatizo huko Western Union, tafadhali wasiliana na mimi.
Nimeengeza makusudi Dollar 10 kwasababu nipate kumpita Bubu, ili BUBU ATAKE KUSEMA kwani namjua yeye anapenda kushindana katika mambo mazuri..
In fact, Nd. Melo, tayari nishakuletea details kuhusu haya malipo kwa email tokea jana. Soma kwanza email msg yako kabla hujaenda huko Western Union, kwasababu watakuuliza masuala fulani fulani utakapokuenda.
Nd. Wana_Forum, ninakutakieni kila la kheri katika haya mapigano yetu against UFISADI katika nchi yetu na kwa mara nyengine ninakushukuruni tena na tena kwa comments zenu na advices zenu mlizonipa.
Kama kuna mmoja wetu ambae ataweza kumueleza Bwana Chenge aturejeshee vile vijisenti vyetu vya commission ya Radar alivyotunyanganya itakuwa ni vizuri sana ili tupate kuwajengea shule ya kisasa wale watoto wetu wa Mbagala.
Kila la kheri.
Ndugu yenu / Ngida Wa Ngida (Ngida1)

Dear Nd. Wana_Forum,
Mara moja huko nyuma nilibahatika kuwepo kule Visiwani wakati wa sherehe za Mapinduzi tarehe 12 January. Siku hio marehemu Karume alihutubia wananchi pale penye Uwanja wa Coopers ( Zanzibar ) na watu wengi sana walihudhuria. Rais Nyerere alikuwa miongoni mwa waalikwa pamoja na George Magombe aliyekuwa Secretary General wa OAU (AU) wa siku zile. Watoto wa Karume (Amani na Ali) siku hio walivaa camouflage za kijeshi na walipita mbele ya wageni kwenye jeep ya kijeshi ambayo nyuma ilikuwa iwazi wakitoa salute kwa waalikwa pamoja na wana_TPDF wengine.
Siku hizo Msumbiji, Angola na South Africa bado zilikuwa chini ya ukoloni na mapigano makali yalikukwa yakiendelea Kusini mwa Africa.
Baada ya military parade Karume aliwahutubia wananchi and at one point in his speech alimgeukia Magombe na akamueleza kuwa yeye anawatoa muhanga watoto wake wawili ili wajiunge na wapiganaji wa huko Kusini ya Africa katika kuuangamiza ukoloni. Watu waliyashangiria sana maneno hayo na siku yapili yake hii habari ilikuwa kwenye front page ya kila gazeti including the reactionary East African Standard.
Karume kabla hajauawa alielezwa kuwa kuna mpango wa kumuua yeye pale Makao Makuu ya ASP (Kisiwandui) na akadhania kuwa ilikuwa ni utani tu, kama alivyodhania Sultani kuwa mipango ya mapinduzi ya tarehe 12 January ilikuwa ni utani tu.
Three days before his death, Karume was quoted to have told Sh. Thabit Kombo jokingly that, there wouldn't be a better place for him to die than in the headquarters of his own Party!
Mimi sio kama Karume bado sijaoa na sina mtoto au watoto wa kuwatoa muhanga katika hii vita yetu against MAFISADI, na kwahivyo NINAJITOA MUHANGA MIMI MWENYEWE!!!
Pia, mimi sina Chama kama Karume and therefore there wouldn't be a better place for me to die fighting MAFISADIS than in this very anti-mafisadi Forum?
Baada ya kupokea ushauri wenu, hii leo nimeamua kurejea tena ukumbini nikiwa ngangari na sio lelemama tena kama mlivyokuwa mkinifahamu huko nyuma.
Aluta Continua!!!
/Ngida Wa Ngida (Ngida1)
Ngida usiwe muoga,kuikimbia hii forum wont help,askari bora huwa haangaliwi kwa ku defeat tuu bali pia attacks zake,tulia tuendeleze hii michakato yetu humuhumu,kama ya Musa yamekustaajabisha hivi,je,utastahamili ya firauni?
"Kushuka mlima tuu unahema,je kupanda hupati woga?"