Kwaherini Kwaherini Kwaherini.....

Aisee hiyo song acha...FeRouZ....aliimba daaah...nakumbuka nilikuwa nikisikia hiyo nyimbo naanza kujuta kwa nn nilimgegeda dem X bila zana..ilikuwa nyimbo yenye ujumbe mwanana kwa kweli

Ni kweli kabisa.
 
Hapanilipo minipo kitandani starehe zimeni weka matatani kupona tena mimi haiwezekani masele wangu ndugu zangu buriani kwaherini kwaherini kwaherini JF kwaherini MMU kwaherini hamtonionatena, buriani....

Sasa najuta mwenzenu yamenikuta ibilisi amefanikiwa kuni vuta sasa sijui wakum laumu nani kati ya nafsi yangu ama shetani....


kwaherini kwaherini kwaherini
Makongo na jiitewute kwaherini wutamba na azania kwaherini ahhaaah aaaahaaah

Saa saba juu ya alama saa nikiitazama nimesha achana na Jack sasa namfata Samson sakumi na mbili na apointment jamaa wawili naachana na Kevin tuta onana tena saa mbili .....
Victor wa mikocheni ambae sasa hayupo tena duniani aliyekuwa anani subiri pale Sinza kijiweni, Steven na Henry tuna kutana kwamacheni nakila siku nawabadirisha tena kwa foleni huo ndoulio kuwa mwenendo wa maisha yangu mimi viwanja kuji vinjari kula ujana na kupopo na mapedejee oooh ooooh....

Niliona faharii na starehe mi nilizi fanyia papara nili wapanga mapedejee kama vibajaji niki panda hii nikirudi ilee ilimladi starehe zote nizi tawale ......

Hata kumkumbuka molah wangu ilikuwa ndoto nilitekwa na ulimwengu
Starehe zote nizi tawale hata kumkumboka molah wangu ilikuwa ndoto nilitekwa na ulimwengu....

Kwaherini Kwaherini Kwaherini.. ..

Kasie Moto.

Starehe mnazioenda ila mwisho wake mbaya.........!!!!
 
Baba wa Taifa aliacha wosia kabla ya kifo châke.Je na wewe huu ndo wosia ulioamua kutuachia cc wana JF au
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom