mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Startimes inaendelea kutukaba koo sisi wanyonge wa hali ya chini kwa kupunguza channels.
Kwa sisi tunaolipia tsh 10,000/= kwa mwezi wametufungia channels 5
B4u music
St kungfu 1
Bet
Viasat N+H
FNL
Na kufungua tulizokua hatuzioni tatu tu.
B4U Movie
Star One
Wap TV
Kwa hali hii nahamia rasmi Azam tv.
Naamini azam tv imekuja kwa ajili ya sisi
Wa hali ya chini ukilipia tsh 12500 unaangalia channels zote..