Utakuwa unakichaa cha mbwa. Watu tunateseka siku nzima unaleta porojo?! Shut up kama hujui.NMB app ni moja ya apps stable sana...
Ndo inazingua tangu mchana mkuu.NMB app ni moja ya apps stable sana...
Unaosha masufuria na suti yako.Dah hizi bank bhn soft money ni nzuri Kwa usalama ila muda wowote zinakutia aibu just imagine ndio umekwenda sehemu kula halafu unategemea ulipe ?
Hii mkuu ishawai nikuta tena zaidi ya mara mbili tena usiku mkubwa nipo kwenye kilaji NBC sio app Wala kadi inayofanya kazi ya kwanza selcom pesa nilikuwa Nina pesa ya pili mwanangu ndio alisave aisee.Unaosha masufuria na suti yako.
Nimemshangaa pia mleta mada, labda kuna maeneo network haiko poa. NMB vs CRDB, nmb ipo juu sana!!NMB app ni moja ya apps stable sana...
Ndo inazingua tangu mchana mkuu.
Mkuu leo almost siku nzima App ya nmb iko down..hatuwezi kufanya miamala.Nimemshangaa pia mleta mada, labda kuna maeneo network haiko poa. NMB vs CRDB, nmb ipo juu sana!!
Uko sahihi mkuu,inatokea mara chache.Yeah nafahamu, nimepata hiyo shida pia...
View attachment 3547703
But sio kwamba ndio app kimeo, jamaa wanajitahidi sana kiasi kwamba kwa mwaka unaweza kukuta wana downtime ya mara 1 au 2 tu...
Natumia app yao, master card yao ya tanzanite (tap service) na prepaid card yao nikiwa nchi yeyote...
Mkuu leo almost siku nzima App ya nmb iko down..hatuwezi kufanya miamala.