Kwaheri mchepuko Wangu

Nikuulize swali na uwe mkweli mnatumia condom au???
 
Sijawah kutumia condom tangia nizaliwe.
Ngoja nikuambie hakuna mwanamke anayetembea na mme wa mtu na akawa hana ka boyfriend pembeni.je huo mchepuko ukuambukize then umuambukize mkeo utajisikiaje??? Au iwe vice versa mkeo afanywe nje bahati mbaya akupe ugonjwa wewe utamsamehe???? Point yangu tuwe tunawafikiria wapenzi wetu jamani
 
Na wewe dogo na huo uinjinia wako unakuwa kama ndio wa kwanza kusoma engineering asee, kua basi ukomae kidogo jamii ione uinjinia ndani yako da!

Siyo "asee" sema "aisee"

Halafu acha wivu wa KIJINGA....
Wewe kama ulibahatika kusoma PSPA kafie mbele....
Cheza mbali na Engineer.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Na wewe hiyo "sio" yako mmmhhh..****** tu.
Note; sio= siyo?

KISWAHILI kimegawanyika katika LAHAJA kuu nne...
LAHAJA ya pwani ya Lamu.
LAHAJA ya pwani ya mombasa & Unguja.
LAHAJA ya kingazija
LAHAJA ya Bonde la Congo.

"Sio" ni LAHAJA ya pwani ya Lamu.
"Siyo" ni LAHAJA ya kingazija.

Pumbav kabisa, unadhani engineer na KURUPUKA!!!

ACHA UBOYA WEWE!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ivi engineer sio 'nshomile' kweli?

Nimejaribu ku decode sentensi yako from Analogue to Digital and then back to Analogue again.... Cjakuelewa.

Usije kuwa umenitukana, nitakufanyia kitu mbaya.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Huyo dada inaonesha ameshafall kwako na anatamani apate your full attention...kazi ipo
 
Nimejaribu ku decode sentensi yako from Analogue to Digital and then back to Analogue again.... Cjakuelewa.

Usije kuwa umenitukana, nitakufanyia kitu mbaya.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hahaha
Una sifa sana we engineer

Siwezi kukutukana
 
Kama umesoma Engineering basi wewe ni jipu, nini maana ya sio?

KISWAHILI kimegawanyika katika LAHAJA kuu nne...
LAHAJA ya pwani ya Lamu.
LAHAJA ya pwani ya mombasa & Unguja.
LAHAJA ya kingazija
LAHAJA ya Bonde la Congo.

"Sio" ni LAHAJA ya pwani ya Lamu.
"Siyo" ni LAHAJA ya kingazija.

Pumbav kabisa, unadhani engineer na KURUPUKA!!!

ACHA UBOYA WEWE!!!
 
Michepuko bhana ubaya ni kwamba anataka umpe haki Sawa na mkeo na kuona unampendelea Wife kwasabab umempa mamlaka na sijui huwa mnaawambia nini michepuko yenu maana wanajiamini sana Baba kama unaipenda familia yako na unatambua thamani ya mkeo na pia Kama unapenda kuishi maisha marefu yenye amani maana kuugua presha hakuko mbali ukiendelea na life style hiyo achana na mambo ya michepuko
 
Poa babra
 
Ukiona hivyo jua anamtu mwingine,na ukishaonyesha udhaifu wa kumbembeleza kila Mara umekwisha,atakupeleka anavyotaka, wenyamaza tu,atajirudi mwenyewe, MPE condition mwsho wa kuijirudi,kama unampenda ,ila km humpendi piga kibuti afie mbele
 
Asante ndugu. Nitafanya hivyo.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
tatizo unafikiria anakuelewa basi....... kweli mchepuko unamgandisha barabarani!!!!!! aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…